Liberata Mulamula inaelekea alikuwa anapata sifa sana kwa viongozi wa nje na kuna washauri hawajapendezwa na hili.
Hii imesababisha washauri kuanza kuongelea mipaka na mambo mengine. Ushauri Rais...
Ndugu zanguni, nimemsikia Spika akihamasisha mapigano/ vurugu/ visasi dhidi ya wanaomsema vibaya Rais nk.
Ndugu zanguni, hii ni hatua ya juu sana ya kuhamasisha vurugu Nchini. Hali hii haipaswi...
Hii ndio Taarifa yake aliyoisambaza kwa vyomba vya Habari Duniani , kwamba Jeshi la Polisi Tanzania limempelekea Wito Askofu Mwamakula , wa kuhitajika kwenye inayoitwa Makao Makuu ndogo ya Jeshi...
Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI
Msome hapa:
Palamagamba na profesa wengine wote...
Simung'unyi maneno. Ni shirika ambalo limeshaisababishia nchi Hasara ya Kutosha. Ndege hizi zilisababisha watu wakaumizwa KWA kutoonekana Wazalendo. Shirika hili kufufuliwa iligharimu nchi KWA...
Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi.
Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo.
"Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha...
RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE.
"Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo...
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati.
Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi...
Summary,
SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki...
Tatizo la wanasiasa ni kujifanya wanajua kila kitu wakati siyo kweli
Utaratibu wa kutoa estimated tax ni wa kisheria tena wa kawaida sana pale TRA.
Kama taxpayer hajaridhika anatakiwa kuammend...
Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana.
Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi...
Habari,
Tundu Lissu alichaguliwa kwa mbwembwe kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na wafuasi wa upinzani wakawa na matumaini makubwa kuwa atakuja na mawazo mapya ya kuinua CHADEMA na Upinzani kwa...
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino uliofikia 91% ambayo itazinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa watanzania mwezi wa tano mwaka huu.
Ikulu ya Chamwino inaongoza...
Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili.
Akivuka mstari ndani ya...
Hatua za uwajibikaji zichukuliwe mauaji ya raia kwenye Operesheni za Polisi nchini:
Utangulizi
Ndugu Waandishi wa Habari
Takribani siku 14 sasa tangu vyombo vya habari, wananchi mitaani na...
Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake.
Wananchi hawakupenda sana...
Cheo ni dhamani, sitakitumia cheo changu au cha mtu mwingine kwa faida ya....
Kuwa kiongozi ni dhamani kubwa aliyopewa kiongozi toka kwa raia waliomdhamini kuwaongoza. Ni wajibu wa kiongozi...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga, Salehe Mkwizu, ameingia katika kashfa kubwa baada ya kupigana na Diwani wa Kata ya Kighare, Innocent Msemo kiini kikitajwa kuwa masuala ya ushoga...