Askofu Kilaini amemtaja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa ni mtu Mwema
Biblia inatuambia hakuna aliye Mwema ila Mungu peke yake
Au mimi ndio sielewi?!!
Naomba kuelimishwa
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo ...
Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo...
Katika...
Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo.
Leo...
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti...
Kuna wakati huwa namkubali Sana huyu Mwamba wa Russia
Anasema Kiongozi maskini huwaibia maskini wenzake na kuzidisha Laana Kwenye jamii
Ni huko mkutanoni Kazikistan
Jumaa kareem
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu inaeleza kwamba Ile kesi ya unyang'anyi wa Gari la kisasa la Range Rover , mali ya Pedeshee Patrick Christopher Kamwelwe , inayowakabili Paulo Makonda na William...
" Kutokana na umri mkubwa wa chama chetu cha CCM, watu wengi wenye kasoro wamejiingiza kwenye chama hiki. Sasa kimekuwa kama dodoki ambalo linabeba vitu visafi na vichafu. Sasa tumekuwa na watu wa...
Najuwa umelala lakini roho yako haijalala. Yes najuwa roho yako haijalala. Najuwa Kuna watu walifurahia kifo chako mpaka wakasimama nakusema alidhani yeye ni Mungu lakini sasa wote wapo ktk vyumba...
Mama yenu yupo bukoba huko mkoa maskini zaidi na wenye utapia mlo mkubwa Tanzania kutoka bodi ya takwimu
Huyu rais kweli anaelewa anachokifanya na kukisema,pamoja na mfumuko wa bei huu masokoni...
SEKTA YA MAJI IMEFANYA VIZURI ZAIDI - GERARUMA
Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa, Sahili Geraruma amesema Kwa siku 195 Mwenge wa Uhuru umekagua na kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi ya...
Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa...
Walau ACT wazalendo tumewasikia juzikati walikuwa na Mikutano Tunduru kabla hofu ya ugaidi haijaingia
Kwa mfano hapa Iringa Chadema ni kama imekufa na yule mchungaji Msigwa ukibahatika kumuona...
UNAPOAMBIWA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE NI BABA WA TAIFA LA TANZANIA UWE UNAELEWA.
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha...
BWM. rest in peace.
Moja ya mambo makubwa aliyofanya hayati Mkapa bila kujali kama yalileta tija au yalitia hasara ni Ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma.
Kama ilivyozoeleka kwa marais waliofata...
Je, inatosha kumuenzi Mwl Nyerere kwa kukimbiza Mwenge wa Uhuru tu? Hatuna mbadala wa Mwenge kama namna ya kumuenzi Mwl? Agenda ya Mwl iliishia kwenye uhuru tu? Wakati wa Magufuli, Chama kupitia...
Hivi watanzania wenzangu nadhani mnautambua vya kutosha mchango wa baba wa taifa hayati J .K. Nyerere kuwa mwalimu alitumia nguvu zake nyingi kupinga udini na ukabila na ndio maana alikazania sana...
Hapa ndipo unafiki wa wazi kwa wanasiasa wengi makhususi wanaotokea pande zile kila kitu utawasikia wanamsifia baba wa taifa hayati mwalimu nyerere na kunukuu baadhi ya kauli kwenye hotuba zake...
Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa.
Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu...