Jinsi ya kumuenzi baba wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumuenzi baba wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saider, Oct 14, 2010.

 1. s

  saider New Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi watanzania wenzangu nadhani mnautambua vya kutosha mchango wa baba wa taifa hayati J .K. Nyerere kuwa mwalimu alitumia nguvu zake nyingi kupinga udini na ukabila na ndio maana alikazania sana umoja wetu watanzania kama ndugu na ndio maana kiswahili kilishamiri kila mahala tanzania na kweli alifanikiwa watanzania tukawa waungwana na kuuacha utwana sokoni ndio amani, utulivu na mshikamano viliitawala nchi na CCM imeliendeleza hili mpaka sasa. ..,cha ajabu kuna chama cha siasa ambacho kimejikita kwenye ukabila na kubashiria kuuvunja huu umoja na utulivu tulionao jamani tihitaji kuijenga Tanzania huru au kuibomoa na kwa kufanya hivyo tutakuwa tunamuenzi vipi mwalimu ambaye alijitahidi kadri awezavyo mpaka tukawa na mshikamano watanzania jamani ili kuepuka kuuvunja umoja huu tulionao oktoba 31 watanzania wote kura kwa ccm ili wajue kuwa bado tunaitaka amano ya nchi yetu Mungu tubariki
   
 2. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Saider,

  Ni chama kipi hicho? Toa taarifa kwa Tendwa, Msajili wa Vyama vya Siasa, ukithibitisha ni chama cha kikabila, akifute. Sheria yetu ya vyama vya Siasa inakataza kusiwe na vyama vya siasa vya kikabila.

  Nina hakika utakuwa umeshiriki katika kumuenzi Baba wa Taifa kama hicho chama kitafutwa, kwa vile Mwalimu Nyerere alipinga sana ukabila.
   
Loading...