Kesi ya Uporaji wa Gari inayomkabili Makonda yaanza kuunguruma Mahakamani. Apewa siku 14 kuwasilisha utetezi wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,371
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu inaeleza kwamba Ile kesi ya unyang'anyi wa Gari la kisasa la Range Rover , mali ya Pedeshee Patrick Christopher Kamwelwe , inayowakabili Paulo Makonda na William Malecela ama Le Mutuz Nation , Imetajwa Mahakamani leo tarehe 13/10/2022 .

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa Paul Makonda, ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwasilisha utetezi wake katika shauri la tuhuma za uporaji wa gari mali ya mlalamikaji Patrick Christopher Kamwelwe anadai kuporwa gari hilo aina ya Range Rover.

Leo Alhamisi Oktoba 13, 2022, Hakimu wa mahakama hiyo Richard Kabate ametoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa kuwasilisha utetezi wake. Hata hivyo, Makonda hakuwepo mahakamani hapo na aliwakilishwa na wakili wake, Chima Andrew

Chanzo : Mwananchi .
 
Habari zaidi zinasema kwamba Ndugu Makonda amepewa siku 14 kuanzia leo kuwasilisha utetezi wake .

Chanzo : Mwananchi .
Dunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia....... ×2.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa Paul Makonda
snoop-dogg-crip-walk.gif
 
Hii kesi Makonda atashinda tu, maana huyu jamaa mwenyewe mdai na yeye mwizi tu, ngoja tusubiri kila kitu kitawekwa hewani maana mahakamani hapaachwi kitu. Tutajua mbivu na mbichi ila Makonda anashinda asubuhi na mapema hata mwadhini bado hajaadhini.
Hapo wote wanajuana maana makonda naye aliambatana na watu wa foooo

Ova
 
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu inaeleza kwamba Ile kesi ya unyang'anyi wa Gari la kisasa la Range Rover , mali ya Pedeshee Patrick Christopher Kamwelwe , inayowakabili Paulo Makonda na William Malecela ama Le Mutuz Nation , Imetajwa Mahakamani leo tarehe 13/10/2022 .

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa Paul Makonda, ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwasilisha utetezi wake katika shauri la tuhuma za uporaji wa gari mali ya mlalamikaji Patrick Christopher Kamwelwe anadai kuporwa gari hilo aina ya Range Rover.

Leo Alhamisi Oktoba 13, 2022, Hakimu wa mahakama hiyo Richard Kabate ametoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa kuwasilisha utetezi wake. Hata hivyo, Makonda hakuwepo mahakamani hapo na aliwakilishwa na wakili wake, Chima Andrew

Chanzo : Mwananchi .
MKUU WA MKOA KUWA MPORAJI NI SERA ZA CHAMA CHAKE
 
Back
Top Bottom