Watanzania tulidanganywa sana na Utawala wa Awamu ya Tano

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,249
1,947
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

1664915659087.jpg
 
mapesa yamejaa

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
667
1,539
Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
 
sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
2,614
4,838

Huyo pimbi achana nae kazi yake kutengeneza thread juu ya JPM huwezi kumkuta anaishauri serkali huu ya kupanda kwa gharama za maisha!
 
Feb 12, 2020
60
78
Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
Wewe upo nchi hii lakini ??
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Acheni ujinga
 
saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
473
486
Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
We ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.
 
DIUNATION

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,567
1,678
Ila kiukweli kuna maeneo JPM alitupiga sana japo haifuti machache aliyoyafanikisha.
 
Kimbukiko

JF-Expert Member
Apr 1, 2022
1,319
2,263
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

Halafu jinga kama hilo likalamaganda kibudu linaendelea kupewa wadhifa ,ni laana hii au kitu gani
 
Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
539
747
We ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.
Kuwa watalii wameongezeka kwa sababu ya royal tour ni kanyaboya jingine
 
Kimbukiko

JF-Expert Member
Apr 1, 2022
1,319
2,263
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

Halafu fal@ kama Hilo li Kabudi bado Lina nyadhifa ,hii nchi ni jalala
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
5,072
4,578
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

Kudanganywa na watawala ni kawaida tena sana

Hao watu wa awamu. Ya tano kwani wamekufa? Si bado wapo? Na walikaa wote kushiriki uongo?

Ndio maana juzi rais kasema hakuna kujitoa kwenye Jambo ambalo serikali imelisema au imelipanga

Huo uongo wote ambao now wapo kwenye mamlaka za juu wameshiriki
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
5,072
4,578
We ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.

Akija Rais mwingine ndio utajua mambo ya Royol tour

Magu alikuwa muongo but vitu vinaonekana kuliko mtu mkweli na hakuna Jambo zaidi ya story tu
 
Kimbukiko

JF-Expert Member
Apr 1, 2022
1,319
2,263
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.

Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.

Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.

Ni AIBU kwa CCM

Hili li jinga ndio lilichukua mpaka ndege ya serikali kwenda Madagascar kununua Azam cola eti dawa ya Corona , pumbav Sana hii nchi ,yaani pesa zinavyotumika kifal@ nchi hii ni mpaka kinyaa
Na misukule ya makufuli bado ikaimba na kumwabudu mungu mtu makufuli
 
10 Reactions
Reply
Top Bottom