Waliosoma Law school na kufaulu watanielewa vizuri kwenye uzi huu.
Tusirudie makosa ya kulazimisha watoto wote wa shule ya msingi hata wasiojua kusoma na kuandika wafaulu kilazima na kujiunga na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa...
Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira...
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara.
Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi:
1. Mkulima atavuna korosho na...
Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa...
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni...
Kwa sasa naona mashambulizi yamekuwa makubwa juu ya uongozi wa aliyekuwa raisi wa awamu ya tano DR. John Pombe Magufuli kwa kutumia njia yoyote ile kumchafua lakini waandishi wa habari mfano Erick...
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu...
Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia...
Ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na mamlaka ya serikali walione hili.
Mimi najiuliza kwanini sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru zifungamanishwe na siku ya kumbukumbu ya Baba wa...
Baada ya simulizi ya jana juu kifo Cha Mwalimu Nyerere tarehe 14/10/1999, simulizi iliyopambwa na ulikuwa wapi tarehe hiyo! Niliahidi kuendelea na Uchambuzi wa MAONO ya Mwalimu Kwa Taifa hili...
Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji...
Habari .
Hela tunazomchangia Lissu ni za kujibana mno, pengine tunashindia mlo mmoja ili tuweze kumchangia huyu mwanasiasa machachari aweze kupona na kusomesha watoto wake vizuri.
Lakini cha...
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!
SSH pamoja na mapungufu...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka...
Habari wakuu,
Kutokana na maendeleo ya technolojia,idadi ya watu kuongezeka kwa kasi na uwezo mdogo wa serikali kuzalisha ajira mpya (ukuaji wa uchumi) kuna kila sababu kuiangalia upya sheria ya...
Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM.
Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa...
Kwa siku za hivi karibuni kuna matukio kadhaa yanaonesha rais wetu mpendwa anasumbuliwa na kitu. Mwanzoni mwa urais tulipata matumaini sana na alijitahidi kuja na kauli za kujenga na matumaini kwa...