Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na...
1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa,
Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili:
a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa...
Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi...
Nafasi aliyopewa Suzan Kaganda ni nafasi ya juu sana ndani ya jeshi la polisi. Ni muadilifu na mwenye misimamo. Anakwenda kusimamia nidhamu, utawala na uendeshaji wa Jeshi la Polisi.
Tutegemee...
Hivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na...
UTANGULIZI
Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae...
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.
Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto...
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado...
Wakuu,
Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa...
Atakayebisha kuwa CCM hawaibi kura basi huyo ni mwehu.
Wanasema kuwa kinachosemwa na mpishi ndiyo chakula halali.
Haya maneno yanasemwa na mwana ccm mwenyewe kama anavyoonekana.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu...
Yapata miaka 7 tangu 2015 Mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya ulipokwama baada ya wawakilishi wa makundi mbalimbali katika bunge la katiba kushindwa kuafikiana kupitisha katiba pendekezwa...
Sababu mama ni kuwa Katiba mpya ndio Tiba ya matatizo yote ya Tz,kama ilivyoelezwa kwenye rasimu ya Jaji Warioba na mama alikua Mwenyekiti wa Bunge la katiba anajua zaidi yangu faida za katiba...
Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi.
Hata hivyo...
Wapendwa, bila shaka kila Mtanzania ana shauku ya kuona Katiba mpya inapatikana sasa.
Nitoe rai kwa wenye mamlaka. Ni muhimu sana kutilia maanani suala la upatikanaji wa Katiba mpya sasa.
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati...
KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP.
OR -TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A...
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara...
Nimeona maajabu Mkoa wa Geita.
Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini?
Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa...