Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa.
Uchaguzi...
Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akichambua ripoti ya Kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi ameeleza kuwa Tume hiyo haikuwa na mamlaka kisheria kutoa amri...
Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la...
Maana akitegemea hawa wanaowaza kuchapa mikwaju wana harakati watoe ruhusa ya tarehe ya Kesi kupangwa atakaa sana huko sero
Au kesi ikishafika mahakamani huwezi fanya mgomo wa kutokula, Nakumbua...
https://youtu.be/Pqc6iwqDZ_8?si=HiMSYksM92lL8jgJ
Bunge linatia aibu. Rutto anajua kuhusu utekaji, wizi wakura, rushwa , upendeleo wa undugu na uzanzibari. Anajua kuhusu mauaji
https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU
Leo saa tano asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kamati kuu ya chama hicho imeazimia kuwa iundwe Tume Huru, itakayojumuisha watu wa ndani na nje ya nchi, ili kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025.
Chaguzi za kidemokrasia zimeanza 1995 na zitaendelea ila ushindi mkubwa katika historia mpaka wa leo ni 2025 kwa aslimia 96.7%. na walioshindwa ni asilimia 3.3%.
Kwa akili za wataalamu wetu...
Rais Samia amesema Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale tunamengi yakufanya East Africa Community ni Community kubwa ya kiuchumi inajilewa, inayoweza kusimama...
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemshukuru Rais wa Kenya kwa hotuba aliyotoa leo Mei 5, 2026, Bungeni Dodoma akibainisha kuwa hotuba hiyo inashawishi, ya...
Nimemsikiliza Katibu mwenezi wa CCM akisema Katiba Mpya ni matakwa ya Watanzania wote na sio kikundi cha watu. Aidha ameshangaa baadhi ya vyama vya siasa kushikilia ajenda moja tu ya uchaguzi...
Akihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Kenya, William Ruto amebainisha kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zinazotegemeana, akieleza kupitia Uhusiano wa Biashara kati ya nchi hizo...
Africa J&L Correspondent, Dodoma
As global powers compete for strategic minerals, energy routes, and African trade corridors amid rising geopolitical tensions, Samia Suluhu Hassan continues to...
"Niruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Rais, dada yangu, Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaliko wake wa heshima kwangu kufanya ziara hii ya kihistoria katika taifa lenu tukufu na...
05 May 2026
Dodoma, Tanzania
LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026
RUTO - MAADUI WETU SI WATANZANIA AU WAKENYA MAADUI WETU NI UKOSEFU WA AJIRA...
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu.
https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw==
My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya...