Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mh, Rais ameshatoa Takwimu sahihi za sensa kulingana na vyanzo mbalimbali na utaratibu uliofuata, Sasa kilicho Baki ni jukumu la Serikali kuhakikisha inapanga bajeti yake kulingana na idadi ya...
0 Reactions
10 Replies
591 Views
Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza...
8 Reactions
110 Replies
5K Views
Habari hii nimeikopi sehemu.. TUNACHEKWA NA DUNIA NZIMA!! Tumekuwa kicheko cha Dunia. Tunachekwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu sisi wenyewe tunachekesha. Piga picha unamsimulia...
17 Reactions
18 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka...
6 Reactions
55 Replies
54K Views
Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Hi! Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo. Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani. Furaha ya wananchi ilikuwa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijui Mimi ndio sielewi au ndio utaratibu au ni ujinga wetu wa kiitifaki Africa? Unakuta kiongozi anapanda kwenye podium wanatumia dakika mpaka 10 kutambuwa itifaki wakati hotuba yake yenyewe ni...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita...
13 Reactions
117 Replies
7K Views
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22. Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000. Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu. Wananchi...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za...
19 Reactions
69 Replies
4K Views
Hali ya maisha imekuwa tait mno, kila kitu kinapanda bei bila mpangilio, mkumbuke hii nchi ni yetu sote. Waziri nape upo wapi haya yanapofanyika? Pamoja na kwamba unachokiburi cha kuwa unajiamini...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mtu anakuwa Mkuu wa Wilaya na Mjumbe wa mkutano mkuu Mtu anakuwa Mbunge Waziri na Mnec Jamani tupo milioni 61 mjue!
1 Reactions
8 Replies
442 Views
Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha...
9 Reactions
77 Replies
5K Views
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa...
7 Reactions
84 Replies
4K Views
Ipo siku huyu Rais wa Yanga atakuja kuongoza Tanzania mzima nina maana kuwa Rais wa Tanzania MUNGU awape tu uzima Maana kinachotafutwa hapa sio uongozi wa Yanga bali ni njia ya kupitia ili afikie...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni...
11 Reactions
86 Replies
8K Views
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…