johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,031
- 142,090
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema ni aibu sana kwa Madiwani na maafisa wa Halmashauri kufisadi Fedha za Tozo
Wabunge tulipopitisha Tozo tulisemwa na kuzomewa sana na Wananchi huko mitandaoni lakini wenzetu wa Halmashauri badala ya kuzitumia vizuri wao wameziiba na kula, amesema Tarimba
Chanzo: TBC