CHADEMA hawakujua kwamba TANROADS kujenga Viwanja vya Ndege ni makosa? KADCO je?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,524
Ieleweke kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani katika Bunge lililopita ndiyo walikuwa wanaongoza Kamati ya PAC wakiwakilishwa na mama Kaboyoka.

Leo bungeni Wabunge wa CCM wamesema TANROADS kujenga viwanja vya ndege ni kinyume na kanuni za Kimataifa, je, CHADEMA hawakuliona hili hadi CAG akemee?

Spika Tulia ameonyesha wasiwasi juu ya uhalali wa KADCO iliyopo jimboni Hai kwa aliyekuwa KUB, je, CHADEMA na hili hawakulijua na kuihoji Serikali?

Mlale unono.
 
CCM ni mfano wa mtu mchafu na asiye mstaarabu, ambaye yupo peke yake katika nyumba yake, ambaye anakwenda kujisaidia yeye mwenyewe, kuacha kufanya usafi wa kukiondoa kifurushi chake cha uchafu alichokiacha. Anapokwenda tena haja na kukuta uchafu wake, anaanza kulalamika na kutaka kunyooshea mkono watu wengine kuhusu uchafu huo.

Jo! Uzi wako kimantiki hauna maana yoyote ile.
 
Ieleweke kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani katika Bunge lililopita ndiyo walikuwa wanaongoza Kamati ya PAC wakiwakilishwa na mama Kaboyoka.

Leo bungeni Wabunge wa CCM wamesema TANROADS kujenga viwanja vya ndege ni kinyume na kanuni za Kimataifa, je, CHADEMA hawakuliona hili hadi CAG akemee?

Spika Tulia ameonyesha wasiwasi juu ya uhalali wa KADCO iliyopo jimboni Hai kwa aliyekuwa KUB, je, CHADEMA na hili hawakulijua na kuihoji Serikali?

Mlale unono.
TIA hawana utaalamu Wala uwezo wa kujenga airports..

TanRoads hawajengi viwanja bali wao ni consultant firm tuu na ilifanyika hivyo naamini kwa Nia njema ya kupunguza gharama za ku hire consultants ikizingatiwa ujenzi wa airports hauna complexity saana,mostly ni civil works ambazo ni Kazi za TanRoads daily..

Kuhusu Kadco sijaona shida labda kama shida ni hiyo kampuni kuwa chini ya msajili wa Hazina badala ya kuwa chini ya TAA,otherwise hiyo ni kampuni ya serikali inayosimamia uwanja wa KIA kama tuu zilivyo kampuni zingine za serikali kama Nafco, Kampuni ya Ranchi za Taifa,TFA nk nk..

So Waziri alijibu vizuri ila Speaker ndio akizingua kwa sababu ukiuza share huondoi jina la kampuni unabadili umiliki tuu,unless kuna mambo mengine tuliyosikia kwamba sijui kuna kuongeza Mkataba nk sasa Mkataba upi tena?
 
Andiko lako linathibitisha jinsi ulivyo mpumbavu,makosa ya serikali dhalimu na Bunge la CCM unaituhumu Chadema!! Moderators na nyie kuachia threads za upotoshaji kama hii ni kulishushia hadhi jukwaa hili.
Mbona Dr Slaa alikuwa anavumbua mengi alipokuwa msaidizi wa KUB Hamad Rashid?

Tanroads inajenga Viwanja vya Ndege nyie Chadema mnabwia mbege tu!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom