Nimegundua kuna Wabunge wanaotoka ukanda fulani wapo vizuri sana. Wakisimama Bungeni wanatetea maslahi ya Taifa bila woga na wanachukizwa sana na vitendo vya WIZI, UFISADI na UBADHIRIFU wa mali za...
Nchi zote zilizo kopeshwa na China leo hii zina lia kilio kikuu, na uzuri wa China yeye anakukopesaha hata kama haukopesheki na hii ni kwa sababu anajua ukishindwa kulipa atachukua mali.
China...
Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi...
Naandika kama mwananchi mzaledo wa taifa hili Tanzania ambaye ni muhanga wa mgao unaoendelea nchini kwetu kwa sasa.
Najiuliza hivi TANESCO kuna nini? Hivi shirika ambalo limedumu kwa miongo...
Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa...
Gazeti la Raia Mwema la leo Oktoba 31,2022 limeweka wazi Siri nzito baada ya Chama cha Mapinduzi kunusa mchezo mchezo mapema na kuahirisha vikao vya mchujo.
Wajumbe, wagombea wa mikoa waondoka...
Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji...
WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP.
TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA.
Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa...
Tanzanian President in Beijing - Some of Xi’s key messages to her - “Modernization does not mean Westernization” and “actively operationalize the Global Development Initiative, increase the...
Sote twa fahamu kuwa Serikali ya JMT kupitia ziara ya Rais katika nchi ya uchina imepata msamaha wa deni la bilioni 31 tsh.
Pamoja na kuingia mikataba ya kimkakati zaidi ya 15.
Mimi kama...
Safari za Rais Samia Suluhu zimekua zikileta matokeo chanya kila siku lakini hii safari ya China imekua babkubwa imeleta Fursa nyingi kwa watanzania zitakazoinua uchumi wa nchi na wananchi Fursa...
Nchi ngumu sana hii by mh Tabasamu
Nakumbuka Mwenyekiti wa Chadema alikwenda gerezani pale Mbeya kumpokea Sugu aliyekuwa amemaliza kumtumikia kifungo gerezani lakini Mbilinyi alitolewa na bwana...
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000. Maharage 200,000 yaani ni...
Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika.
Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao...
Uchangiaji wa hoja mbalimbali katika ripoti ya ukaguzi ya CAG umelipa bunge la 12 mkutano wa 9 mhemko mkubwa !
Wabunge wamecharuka, wanakemea madudu yanayofanyika na watumishi wa Serikali...
Akichambua Ripoti ya CAG, Dr Msukuma Mbunge wa Geita vijijini amemlaumu Godwin Kunambi aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kwa kutekeleza miradi inayoleta hasara.
Dkt. Msukuma amesema Ujenzi...
Miaka kadhaa iliyopita mawasiliani binafsi kati ya Comrade Kinana na Makamba yalidukuliwa.
Hiki kilikuwa si kitendo cha kistaarabu na heshima.
Sina uhakika lakini kumfuatilia mtu nyendo zake...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019.
Dk Ndumbaro...
Kazi iendelee!
=========
BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA
Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika
Maamuzo hayo yamefanyika...