CCM waahirisha vikao vya mchujo, Januari Makamba atajwa

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Gazeti la Raia Mwema la leo Oktoba 31,2022 limeweka wazi Siri nzito baada ya Chama cha Mapinduzi kunusa mchezo mchezo mapema na kuahirisha vikao vya mchujo.

Wajumbe, wagombea wa mikoa waondoka Dodoma, wapagawa.

Lakini kwenye gazeti hilo limemtaja Januari Makamba kuwa ni miongoni mwa wagombea wa nafasi nyeti ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC).

Kwenye orodha hiyo ya gazeti la Raia Mwema kwa upande wa Mawaziri ni Januari Makamba pekee anayetegemewa kupitishwa na vikao.
 
January huyu huyu asie elewa majumuisho ya deni la taifa mpaka leo.

Kwenye kichwa chake deni la taifa ni hela zilizokopwa na wizara ya fedha tu.

Huyu ndio mtu wakusumbua nchi, kama hiyo ndio halisi on the ground; tuna safari ndefu ya kupewa maisha bora ya kila mtanzania.
 
January angeachwa atatue matatizo ya umeme, asikimbilie kujificha kwenye UNEC ili asiwajibishwe kutokana na changamoto za wizara yake ili wabunge kina Gambo waogope kumsema kwa matatizo ya umeme wakihojia majina yao kukatwa 2025
 
January angeachwa atatue matatizo ya umeme, asikimbilie kujificha kwenye UNEC ili asiwajibishwe kutokana na changamoto za wizara yake ili wabunge kina Gambo waogope kumsema kwa matatizo ya umeme wakihojia majina yao kukatwa 2025
Gambo hawezi kuhoji vitu Kama ivyoo,shujaa aliyebaki ni Luana mpina basi,wengine ni takataka tuu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Salam alizitoa geita kule!

ZILE salaam ni nzito sana!

Kumbe zilikuwa zinamaanisha haya sio!!?

Nani Sasa kapiga biti hadi mkutano nyeti ikayeyuka!?

Ndoto ya katibu mstaafu wa ccm lazima itimie Bwana!Nani anakwamisha HUYU!?

Basi sawa tunasubiri hatma yake kwa ham Sana!!
 
Nchi hii haiwezi enda Mikononi Kwa Makamba nawaambieni si tupo? Mtaona tilia maanani nawaibia Siri kuna watu watatu ndo wanaangaliwa

Mmoja ni balozi huko Kusini Kwa Mabomu japo bado ni mchango kisiasa ila by 2030 atakuwa amekomaa komaa..

Mwingine ni Mkuu wa mkoa sehemu
Hapo kati kati .
Na mwingine anaongoza ka Isakbd fulani


Tupo tutakumbushana (Shika Hii ni kutoka Jikoni Kabisa)

Britanicca
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom