Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada yakuripotiwa kuwa na Nyufa kadhaa katika Jengo jipya la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam zilizobuniwa na Wakala wa Majengo nchini (TBA), Desemba 3, 2017, TBA wamefanya ukaguzi katika Jengo hilo...
11 Reactions
652 Replies
91K Views
Waafrica shobo zetu ndo zitatuponza kuna ambao wana msupoti Mrusi wengine Mmarekani wengine mchina Yaani sisi tumekuwa masapota sasa Ila ukweli katika watu wote hawa akuna mtu mwema kwa mtu mweusi...
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Kunatofauti kubwa Kati ya Demokrasia na Uchumi, na nivitu ambavyo haviendi Pamoja, lakini vilevile Ikiwa kimoja kitainuka lazima kingine kianguke. Demokrasia katika ulingo wa kisiasa kwa upana...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi . Ewe DOLA, inawezekana...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Waziri wa kilimo amesema kuwa acha solo liamue kuhusu Bei ya mazao.Ni sawa kwa maana ya kutaka wakulima wajikwamue.ndiyo maana Leo hii hata vijijini debe moja ya mahindi imefikia 25000 shilling ya...
2 Reactions
8 Replies
664 Views
Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani. Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Wadau, Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U...
5 Reactions
76 Replies
9K Views
CAG afafanua fedha kutofika elimu bila malipo ===== Kusuasua kwa utoaji fedha za utekelezaji wa elimu bila malipo kunachangia kukosekana kwa miundombinu ya elimu katika shule za msingi na...
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo...
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa. Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha...
2 Reactions
2 Replies
516 Views
MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndio Ukweliii! Daraja jipya la Wami,analolitumia Riziwani kumsifia SSH,ni moja ya kumbukumbu kubwa,miongoni mwa nyingine nyingi alizoziasisi hayati Baba JPM. Wakati SSH akikazana kwenda kukopa...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani...
1 Reactions
8 Replies
668 Views
Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za...
24 Reactions
163 Replies
19K Views
Kuna mijadala ukikutana nayo unajiuliza kama hawa ndiyo tunawategemea kwenye nafasi mbadala ya uongozi ni bora tubakie kama tulivyo. Rais amepata mualiko China na taarifa imewekwa wazi wapiga...
4 Reactions
11 Replies
876 Views
Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…