Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji...
Mbunge wa Muleba Kaskazini (CCM), Charles Mwijage ameomba Serikali kuunda tume ya kuchunguza tabia ya Polisi kukwepa gharama za kusafirisha mahabusu.
Mwijage ameliambia Bunge leo Jumatano Novemba...
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa...
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri...
Kupitia bunge la Tisa linaloendea hivi sasa Mbunge wa Makete-Festo Sanga ameshauri kama hatuwezi kuwapiga Risasi wezi walioisababishia Hasara Serikali wafungwe maisha.
Serikali ya Rais Magufuli...
Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa...
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2020 Mv...
Mbunge wa Viti maalum mh Pareso amesema katika hali ya kawaida haiwezekani yeye ajiteue mwenyewe Kuwa mbunge bila ya kuteuliwa hivyo ni wazi Kuwa aliteuliwa
Pareso amesema Mbowe na Mnyika...
Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue...
Mzee Mwinyi ana miaka 96, ameishi juu ya ardhi kwa miongo tisa na miaka sita. Wenye kuishi mpaka kufikia umri huo ni wachache sana. Ni baraka kufikia uzee huo. Pia ni kielelezo cha karama...
Kuna wakati najiulizaga hivi hizi sheria wanazo wapaga wakimbinzi zinatolewa na serekali ya Tanzania au ni wahuni fulani tu akichanganywa na mke wake asira zote anazimalizia kwa wakimbizi
Unajua...
Nampa pole Waziri MKUU na Rais
KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo...
Chadema umeitaka Serikali kuifanyia matengenezo makubwa Viwanja vya Ndege vya Arusha, Bukoba, Kigoma nk kwa sababu siyo salama
Mrema amesema mara nyingi Ndege hushindwa kutua Arusha na kulazimika...
Mimi nafikiri zawadi kubwa kwa Majaliwa ingekuwa boti mpya ya Uvuvi na hii ingetolewa na kwa mchango wa Mama, Manusura pamoja na Ofisi ya waziri Mkuu kitengo cha majanga au hata kwenye zile 10% za...
Mimi huwa ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinaziobukaga humu ndani kuhusiana na maendeleo ya mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kagera.
Pamoja na kwamba mada nyingi huwa zinaishia katika mabishano ya...
Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Novemba 6, 2022 Mkoani Kagera...
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli...
Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa.
Majuzi kati...
Ninaandika kwa mwandiko wa machozi mengi baada ya kushuhudia kilichotokea Bukoba ziwani namna tulivyoshughulika kuokoa watanzania wenzetu na hata wengine kupelekea kupoteza maisha Sitaki kujikita...