Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,429
3,527
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
 
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764
Mtaongea mengi saana mwaka huu
 
Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
🤣🤣🤣🤣
 
Mimi sina pingamizi nae huyo nani, pengine utabiri wake ushawahi ku dhihiri.
 
Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
Unatabiriwa mabaya ili ufanye jambo kuyaepuka..
Lakini mazuri Yakija ni furaha tupu.japo hayo pia baadhi huwa wanatabiriwa
nionavyo mie.
 
Back
Top Bottom