Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai.
Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama...
1. UTANGULIZI
Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...
Ni hayo tu Watanzania wenzangu. Nimekata tamaa kabisa na hii katiba kwani haiwezekani nchi huru yenye Miaka 60 Ya Uhuru AMANI na UTULIVU.
Haina VITA kama CONGO ina RASLIMALI za Kutosha karibu...
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo.
Amesema Serikali ilisaini mikataba...
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.
Ikiwa wenzetu Kenya...
Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar.
Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar...
Kwa sasa nchini na Duniani kote kuna upungufu wa chakula. Kwa wengine, hili limekuwa janga, na kwa wengine imekuwa neema.
Ukichanganya upungufu wa chakula, bei kubwa ya mafuta ya kuendeshea...
Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia.
CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali...
Na Godfrey Mushi
Wasalaam,
Imekuwa siku mpya hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema Kwa fursa hii ya uhai na neema zake katika maisha yetu.
Jana nimemsikiliza Mbunge wa Musoma...
Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga.
Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania...
Viongozi wa dola kupitia CCM kuanzia Wabunge, Madiwani na Wenyeviti Mitaa, Vijiji na Vitongoji hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Ingawa wanaingia kamati za siasa ndani ya ngazi...
Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako
Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi
1.wapinzani...
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya...
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano...
Tunasubiri neno lako kiongozi wetu utoe neno kwenye ajali hii. Ukimya wako unatunyima raha sisi wafuasi wako.
Huku mtaani tunaambiwa chama chetu ni cha udini ndiyo maana uko kimya sana.
Sa100 na...
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3...
Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi.
Tumeona na kuzoea kuona chama cha...
Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote.
Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge
Tanzania...
Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza.
Baada ya ajali ya ndege siku...