Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Rais Samia alikuwa Kigamboni kufungua Kisima kikubwa cha Maji kitakachonywesha Jiji la DSM Yawezekana Waziri wa Mazingira Dr Jaffo ndiye atatuwakilisha katika mkutano utakaohutubiwa na Rais...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Hii ndiyo taarifa ya haraka ambayo imesambazwa kwa vyombo vya habari asubuhi ya leo. Kwamba John Mnyika ataongea na waandishi wa habari, leo tarehe 10/11/2022, kwenye Makao Makuu ya Chama, nje ya...
16 Reactions
56 Replies
5K Views
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imesema, Uwanja wa Ndege wa Bukoba, Mkoa wa Kagera ni salama kwa asilimia 100. Dar es Salaam. Wakati yakiibuka madai ya usalama duni wa Uwanja wa Ndege wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kwenye Gazeti la Raia Mwema linalomilikia na Sead Kubenea limekuwa na mwendelezo wa kuchafua viongozi mbalimbali wa Kiserikali akiwemo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
8 Replies
876 Views
Ni ajabu sana hapa duniani Chama Kikuu cha Upinzani kukataa kushiriki mchakato wa katiba wakati chenyewe hakina uwezo wowote wa kuunda Movement ya Katiba mpya. Naishauri Chadema kwa sababu...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama chama kinachoongoza upinzani wa Tanzania na uhitaji wa mabadiliko ya haraka ya katiba lipi bora kati ya kufanya maridhiano na CCM au na wabunge waliosimamishwa?
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini. Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu...
2 Reactions
16 Replies
979 Views
Huh unabii wa Tundu Antipas Lissu unaweza kutimia kwa dalili zilizopo Nyerere: Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha itaendelea tu kuila Jumaa kareem!
1 Reactions
6 Replies
865 Views
Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati Chadema inaongeza Jiji la DSM chini ya Lord Mayor DSM Isaya Mwita Mzee Sabodo alitoa msaada wa fedha za kuchimba Visima Naulizia tu kama Visima vile ni miongoni mwa hivi 119...
1 Reactions
6 Replies
643 Views
Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali? Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Spika wa bunge Dr Tulia ameishauri Serikali kuingiza Maji ya kwenye Maziwa katika Mfumo rasmi wa maji yanayotumiwa majumbani Dr Tulia amesema Maji ya Ziwani ni ya uhakika na hayakauki hivyo ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia. Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kagame ni kiongozi kama rais wa urusi, ni mtu anayependa na kujivunia vita. Jumuiya ya Afrika Mashariki ilifanya makosa makubwa kuiruhusu Rwanda kujiunga nayo. Sasa ni wakati muafaka wa...
2 Reactions
9 Replies
910 Views
TAARIFA KWA UMMA Mkutano mkuu wa vyama vya Kidemokrasia Barani Afrika - Democrat Union of Africa (DUA) uliofanyika Jijini Abidjan, Ivory Coast kuanzia Jumapili tarehe 06 Novemba, 2022 na...
25 Reactions
92 Replies
5K Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora kwenye huduma na bidhaa. Ndugu Baraka Mbajije (Afisa...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Hakika hakuna marefu yakakosa mwisho, iwe mwisho mwema au mbaya. Leo hii ndani ya CCM wameanza kunyukana dhidi ya mipango mibovu ya kimaendeleo. Msikilizeni mh Sanga halafu tujadili kwa pamoja...
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Kama ni kweli kabisa alikuwa Fisadi mbona Waliomtuhumu hao Chadema walimbembeleza awe mgombea Urais kws ticket ya Chama chao? Sijawahi kupata majibu ila namshukuru RA kwa kumueleza ukweli Shujaa...
0 Reactions
4 Replies
669 Views
Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Acheni kukimbilia 20% za Bagamoyo,kabla ya kukamilisha "Hub" Muhimu za Uchumi. Nazo ni......... "SGR" kwa kusafirisha mizigo kwa uharaka na gharama rahisi. "JNHP"Kwa kuzalisha nishati muhimu na...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…