Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa.
Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi kile ilikuwa sio rahisi kumuelewa PM Lowassa kwa sababu tulichagua upande wa kuhukumu.
Kipindi kirefu kimepita lakini bado tunaona UWAZIRI mkuu bado ni tatizo. Ni waziri mkuu ndio anatazamwa kwa kila kosa la waziri huku mawaziri wa wizara husika wakiachwa. Je, ni kweli waziri mkuu anastahili lawama?
Kwa mfano kuzama kwa ndege ya Precision air, waziri mkuu anatajwa yeye pekee as if ni yeye ndio aliitumbukiza ndege ziwani?
Kila jambo tatizo ni waziri mkuu na mbaya zaidi Yale mambo ya lawama pekee lakini Yale ya kupongeza anapongezwa waziri husika, kwanini?
Nakumbuka siku Mama yetu Rais Samia anamwapisha Dkt.Tax, Bashungwa na Kairuki alizungumzia suala la collective responsibility kwamba kwa maamuzi ya pamoja asitokee MTU wa kujitenga nayo, sasa kwa nini PM aonekane ni tatizo pekee?
Nikirudi kwenye kichwa cha mada ,nqmpongeza sana PM Majaliwa tena sana wasiokuelewa hawatakuelewa kamwe lakini nikiri kusema una sehemu ya roho ya Hayati Nyerere, Sokoine na Magufuli. Nayo ni ujasiri, uthubutu na uchapakazi.
Tunatambua vita unavyopigana ni kupambana na wanaotamani UWAZIRI MKUU na ninaamini ni wewe unayeweza kupambana vita hivyo kwa ajili ya tanzania.
Binafsi sioni kosa lolote kwa majaliwa zaidi ya TATIZO LA UWAZIRI MKUU