Hivi Visima 119 vya DSM vimo na vile vilivyofadhiliwa na Mzee Sabodo kupitia Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Wakati Chadema inaongeza Jiji la DSM chini ya Lord Mayor DSM Isaya Mwita Mzee Sabodo alitoa msaada wa fedha za kuchimba Visima

Naulizia tu kama Visima vile ni miongoni mwa hivi 119 vilivyokaguliwa na Waziri mkuu jana

Kiukweli DSM tatizo la Maji ni kubwa tumuendee tena Sabodo kwa msaada zaidi

Jumaa kareem!
 
Hivi ni ufadhili wa Misri sema hawataki watu wajue kama ni ufadhili wanadai ni wao wanachimba kwa mapato ya ndani

Screenshot_20221111_104628.jpg
 
Wakati Chadema inaongeza Jiji la DSM chini ya Lord Mayor DSM Isaya Mwita Mzee Sabodo alitoa msaada wa fedha za kuchimba Visima

Naulizia tu kama Visima vile ni miongoni mwa hivi 119 vilivyokaguliwa na Waziri mkuu jana

Kiukweli DSM tatizo la Maji ni kubwa tumuendee tena Sabodo kwa msaada zaidi

Jumaa kareem!

Mkuu ebu tutapatie statement ya muamala aliofanya sabodo kwenda chadema kwa ajili ya kuchimba visima.
 
Wakati Chadema inaongeza Jiji la DSM chini ya Lord Mayor DSM Isaya Mwita Mzee Sabodo alitoa msaada wa fedha za kuchimba Visima

Naulizia tu kama Visima vile ni miongoni mwa hivi 119 vilivyokaguliwa na Waziri mkuu jana

Kiukweli DSM tatizo la Maji ni kubwa tumuendee tena Sabodo kwa msaada zaidi

Jumaa kareem!
Kenge we, lengo lako twalijua sisi watu wa Tanga! Waja leo utaondoka leo leo!
 
Wakati Chadema inaongeza Jiji la DSM chini ya Lord Mayor DSM Isaya Mwita Mzee Sabodo alitoa msaada wa fedha za kuchimba Visima

Naulizia tu kama Visima vile ni miongoni mwa hivi 119 vilivyokaguliwa na Waziri mkuu jana

Kiukweli DSM tatizo la Maji ni kubwa tumuendee tena Sabodo kwa msaada zaidi

Jumaa kareem!
Ijumaa ya leo tunaombea nchi ipate mvua, wahi msikitini,
Achana majungu, huyo Sabodo nenda kwake ukamuulize,

Jumaa Kareem bwashee
 
Back
Top Bottom