Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,Hakika hakuna marefu yakakosa mwisho,iwe mwisho mwema au mbaya.
Leo hii ndani ya ccm wameanza kunyukana dhidi ya mipango mibovu ya kimaendeleo.
Msikilizeni mh Sanga alafu tujadili kwa pamoja hapa jukwaani.View attachment 2412397
Kama kawaida kutaundwa kikosi kazi ili watu wale pesa za posho kirahisiAlafu wakishantukana
Bunge lunachukua uamuzi gani
Mbona kama mipasho ya wabunge tushaizoea humo
Ova
🤝🤝🤝 tuko pamoja mkuu umeniwahi kucommentNacho shukuru sasa angalau kidogo kuna watu wameamua kuongea ukweli
Nchi zmeundwa kamati trillion kdgKama kawaida kutaundwa kikosi kazi ili watu wale pesa za posho kirahisi
🤜🤜🤜🤜🤜Pamoja sana kiongozi
Sijaelewa vizuri,ya Mbarali yanatakuwa kama ya Ngorongoro au?Nimemsikiliza Mbunge Sanga na yule wa Morogoro sijui Aboud wamezungumzia mipango mibovu ya serikali yao. Mmevunja idara/kitengo cha mipango sasa nchi inaenda bila direction, sisikii tena mipongo wa miaka 15, 20 25 etc no strategic plan for the Country.
Wizara/Idara/Vitengo haziwasiliani, ni vurugu tupu. Shida uchaguzi ujao hakuna tena kingine uchaguzi ujao kambi ipi itashinga, maendeleo ya wananchi is secondary thing.
Mabadiliko hapana tutatoka madarakani. Ni shida hata kwa Rais alieko madarakani, Kinana amezungumza, ni shida.
Nadhani ungekuwepo huko usingekubali uchawa. So unaunga mkono. Thesi vs ..... dilectical materialism ...Duh...!.
P
Haya BWana BWEGE wa kule Kule Kilwa alishawahi yatamka..!! Kwamba sisi hatutakuwepo mtabaki wenyewe mnanyukana..!! Muda wa kunyukana wao kwa wao umefika sasa..!!Hakika hakuna marefu yakakosa mwisho,iwe mwisho mwema au mbaya.
Leo hii ndani ya ccm wameanza kunyukana dhidi ya mipango mibovu ya kimaendeleo.
Msikilizeni mh Sanga alafu tujadili kwa pamoja hapa jukwaani.View attachment 2412397
Tatizo kuna matabaka Yana kula hadi wanavimbiwa wakati kina Sanga wanaishia kwenye posho tuHaya BWana BWEGE wa kule Kule Kilwa alishawahi yatamka..!! Kwamba sisi hatutakuwepo mtabaki wenyewe mnanyukana..!! Muda wa kunyukana wao kwa wao umefika sasa..!!
Kwamba na yeye siku akila hadi kuvimbiwa ATAUFYATA?Tatizo kuna matabaka Yana kula hadi wanavimbiwa wakati kina Sanga wanaishia kwenye posho tu