Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya...
Tunakumbushana tu UVCCM wa Tanganyika wanapenda sana makundi ndio ikaonekana ni heri mwenyekiti awe anatoka Zanzibar
Siyo vibaya kuurejea Utaratibu
J3 Ubarikiwe sana!
TUTAPOTEZA TUKISUBIRI VICHWA VIPYA VYA TRENI 2023.
Tarehe 04/07/2022 Ikulu Jijini Dar Es Salaam wakati wa Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) sehemu ya Tabora hadi...
Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo.
Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha...
Tufuatilie hapa kwa taarifa zote kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha...
Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeamua rasmi " kukomboa Ardhi " ya Tanzania kwa kuvurumisha Mikutano na Vikao kila mahali Vikosi Kazi vimesambazwa Nchi nzima kwa siri na hadharani.
Ile...
Meneja ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Ziwa, Musa Kuzumila amesema kuwa maji na tope la bwawa la Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Ltd (WDL) havina madhara yoyote hivyo wananchi...
Ikumbukwe kuwa Herry James alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM mwaka 2017 na mnamo mwaka 2021 alipandishwa Cheo na kuwa mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Hivyo alitumika kama Mwenyekiti wa UVCCM kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera mh Chalamila amewaonya watu wanaotoa taarifa potofu kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air na kuwataka waache mara Moja
Chalamila amesema Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi...
Afrika ili tuonekane tuna akili inabidi ifike wakati tuweke pesa kwenye "emergency responders" zaidi kuliko kuwekeza mabilioni kununua magari ya kukaa viongozi moja moja badala yake tuwekeze...
Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe...
Raisi Samia Soma Alama Za Nyakati Chukua Hatua Wizara Ya Elimu Kabla Mambo Hayajaharibika .
Kelvin Mutabingwa
Kawe - Dar
Waandishi Wengi Wa Dola Ya Kirumi Na Ile Ya Ugiriki Wakati Huo...
Kwa mfano pale kwa watani Ufipa st Kinondoni Shamba hatuwezi kuilamu Chadema eti kwanini Wenyeviti wa Bawacha toka iasisiwe ni Wagalatia watupu
Ndio hao wanaochukua fomu na kugombea sasa...
Ni kweli kama taifa na hata mataifa mengi ya Afrika tulihuzunika na kusikitika mno tulipompoteza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya 5.
Bado tunapomkumbuka tunatamani...
Kilio cha Wananchi kimepuuzwa na SERIKALI. Kwa Hali ilivyo ni wazi kwamba unyonyaji huu unabaraka za mamlaka za juu. Sasa imekua ni mashindano ya kukandakiza wanyonge.
Baada ya kauli ya waziri...
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe...
Anaandika Tito Magoti.
Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana!
Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM...