Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hao Makamanda niliowataja hapo juu japo walikuja baada ya mimi kurejea CCM hakika nawakubali sana Shujaa Magufuli alitamani sana awe nao Kikosini lakini misimamo yao isiyoyumba wala kuyumbishwa...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana...
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Habari za muda huu. Ni muda sasa nimekua nikifuatilia utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya 5 na kiukweli nimejiridhisha kwamba baadhi ya mawaziri hawako "active" kama uongozi wa juu wa nchi...
9 Reactions
161 Replies
14K Views
Siku tukipata nafasi adhimu ya kuandika katika katiba mpya tuangalie kwa umakini muda wa wabunge. Miaka 5 kwa mbunge ni mingi sana, inapaswa ipunguzwe hadi angalau miwili na nusu au mitatu(3)...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21. Rais Samia Suluhu...
20 Reactions
355 Replies
19K Views
"Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa. Aidha, Baraza linawashukuru na kuwapongeza wote waliohusika...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
=== Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Nchi yoyote kabla haijaruhusu chakula kuuzwa nje ya mipaka yake inaangalia kwanza imezalisha kias gan na msimu wa mvua ulikuwaje. Leo hata mvua bado hazijaanza tayari kimenuka, mnapeleka mahindi...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
Kama ulitegemea kuona majina makubwa katika nafasi mbalimbali za kuomba nafasi za ujumbe sahau kuhusu hilo. Ni Wakati mwingine ambao tunashuhudia Vijana wakiibuka katika nafasi mbalimbali ndani...
1 Reactions
2 Replies
643 Views
Swali: Ni kwanini ndege,mfano Njiwa, akitua kwenye waya wa umeme hafi kwa maana ya kunaswa? Usione aibu kujibu sema tu unachojua ili tujipime wenyewe uelewe wetu-elimu yetu. Mtu yeyote aliepata...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hivi mnajisikia amani kweli Hata kujitambulisha kwa Vyeo vyenu wakati Dar es salaam haina maji! Ni Waziri wa Maji gani? Na DAWASA mna kazi gani maofisini? Nendeni likizo tujue Moja Wananchi...
2 Reactions
8 Replies
934 Views
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango...
20 Reactions
164 Replies
15K Views
SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO === Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo...
8 Reactions
84 Replies
4K Views
=== Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo tarehe 12 Novemba...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Haya nayo ni maajabu 7 katika jamhuri ya walei nchini brunei, mabasi kila siku yanaua mamia ya watu hakuna dharula. Watu wanakufa njaa imekuwa tishio kubwa na chakula kimepanda bei mara dufu...
14 Reactions
27 Replies
2K Views
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila...
14 Reactions
138 Replies
7K Views
Kumekuwa na kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya Wanachama wa Chadema tena wengine Viongozi mfano ni Sugu, Heche, pambalu na Wanaharakati wengi wakipinga kwa nguvu zote kuwa Kijana Majaliwa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Je wajua? Katika kipindi cha Mwezi Octoba 2022, Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya vizuri katika maeneo yote muhimu kiuchumi? MFUMUKO WA BEI- Umeendelea...
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…