Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,448
1,003
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu

IMG-20221112-WA0016.jpg
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-U-RC.
View attachment 2414017
Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
 
Ila Samia Kuna watu wanajipanga Kummaliza kabisa,

Sababu gani zilimfanya amteme huyu Mtu,

Kuna watu wabaya wanamshauri Rais Vibaya,

Samia mteue Kafulila akusaidie kutengeneza hoja hali ni mbaya upande wako
Bora uteuliwe wewe. Kafulila ni hopeless sana mungu alimpa mdomo wa kupiga kelele ili apate sifa
 
Nani aliwafanya WATANZANIA wakawa 'kondoo na rahim' namna hii? Watu wanaoneshwa maji kwenye Tv wanashangilia, siku imekwisha! Wanarudi kuoga kwenye kisado cha lita 5.
Hawa ndio mnasema watadai KATIBA MPYA? Yangu macho.
 
Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Anaongelea absolute figures what about rate ya ukopaji ambao bunge lina hoji? Ni ndogo kwakua huko nyuma rate ya ukopaji ilikuwa ndogo so in absolute terms yes but what about if the rate continues, what will happen afterwards?

Tuache kutoa majibu badala ya kuelewa mantiki ya mjadala, he is just being naive bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom