Kati ya Ma RC hawa nani amefanya vibaya 2022

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Wakuu wa mikoa ambao hadi tumeuanza Mwezi Disemba wanachapa kazi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu je kati ya hawa ni nani aliyefanya vizuri zaidi na ni nani aliyemuangusha Mh Rais Samia kwenye eneo lake alilopewa kusimamia maendeleo ya wananchi..

1: John Mongela- Mkoa wa Arusha
2. Rosemary Senyamule- Mkoa wa Dodoma
3. Antony Mtaka- Mkoa wa Njombe
4. Laban Thomas- Mkoa wa Ruvuma
5. Peter Serukamba- Mkoa wa Singida
6. Amos Makala- Dar es Salaam
7. Martine Shigela- Mkoa wa Geita
8. Albert Chalamila- Mkoa wa Kagera
9. Thobias Andengenye- Mkoa wa Kigoma
10. Makongoro Nyerere- Mkoa wa Manyara
11. Nurdin Babu- Mkoa wa Kilimanjaro
12. Omary Mgumba- Mkoa wa Tanga
13. Aboubakar Kunenge- Mkoa wa Pwani
14. Fatma Mwassa- Mkoa wa Morogoro
15. Halima Dendego- Mkoa wa Iringa
16. Ahmed Abbas- Mkoa wa Mtwara
17. Zainab Tellack- Mkoa wa Lindi
18. Queen Sendiga- Mkoa wa Rukwa
19. Batilda Buriani- Mkoa wa Tabora
20. Mwanamvua Mrindoko- Mkoa wa Katavi
21. Sophia Mjema- Mkoa wa Shinyanga
22. Yahaya Nawanda- Mkoa wa Simiyu
23. Suleiman Mzee- Mkoa wa Mara
24. Adam Malima- Mkoa wa Mwanza
25. Juma Zuberi Homera- Mkoa wa Mbeya
26. Waziri Kindamba- Mkoa wa Songwe
 
Huyo wa Mkoa wa Tanga kazidiwa kete na Vijana wa Uhamiaji, TPA na TRA hali ya magendo na Waethiopia kupenya mkoa wa Tanga ni kubwa sana. Nashangaa tunaanzisha Mkoa wa Kipolisi Rorya na Kibiti tunaisahau Tanga.
RC ajenge hoja pawe na Mkoa wa Kipolisi kuthibiti hali hiyo lkn pia alitakiwa kuthibiti ile bidhaa ya Bandari istoroshwe na hatimaye kuchoma godown tupu. RC kama mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa alifeli sana.
 
Back
Top Bottom