Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
709
1,558
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari.

Sasa mimi nauliza ni kina nani hao ambao walikuwa wameandaliwa kurithi mikoba ya kina Polepole na Bashiru? Je, ni hawa kina Chongolo na Shaka?
 
Magufuli alikuwa alete mabadiliko sana ndani ya chama-yani tumerudi nyumba kwenyw chama kwa hatua 1000

Chama kimerudi kwa watoto wa mjini,sisi wenye chama chetu tunawaangali huku tukisoma mchezo taratibu
 
Magufuli alikuwa alete mabadiliko sana ndani ya chama-yani tumerudi nyumba kwenyw chama kwa hatua 1000

Chama kimerudi kwa watoto wa mjini,sisi wenye chama chetu tunawaangali huku tukisoma mchezo taratibu
Na uoga wa uzuzu, halafu mnataka kujilinganisha na democracy ndani ya ANC!,elewa hawa ANC wameshawavua Urais marais 2 na mwingine kakalia kuti kavu, uzuzu ndio veto pekee ya chama dola.
 
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM...
Mkuu tukuulize wewe ambaye ndie umeleta hii habari kwa maana imeonekana hiyo plan B una maelezo yake, vinginevyo tutakuwa tunamaliza tu vifurushi vyetu kwa kuleta malumbano hapa, ama wewe ndie unayejua au mwendazake.
 
subutuuuu
shaka na chongolo?
Shaka na Chongolo sidhani

Kwa Magufuli Shaka ni aina ya wanasiasa aliokuwa hawapendi (wale wana CCM wanaojiona wanamiliki chama na wenye porojo nyingi)

Chongolo mtamalizia wenyewe
 
Hivi assuming nilikuwa mimi, kwa sasa nawezaje kujua kama nilikuwa mimi,....l.o.l..?
 
Back
Top Bottom