Rais Samia: Ili kuongeza wigo tumependekeza Wajumbe wa Halmashauri kuu waongezeke Kutoka 15 na kuwa 20 kwa Tanzania Bara na 20 kwa Zanzibar!

Sijui ni sababu ipi waliyoitoa iliyowafanya kuongeza idadi ya hao wajumbe, binafsi hata hao kumi na tano sikuwahi kuona umuhimu wao, kuongeza wengine watano ni kuongeza rundo la watu wasio na kazi ya kufanya zaidi ya kumsifia mwenyekiti.
 
Kundi la wanawake 79 walioteuliwa kugombea NEC TAIFA wanafaa wote kuivusha CCM 2025, wote hao wapewe nafasi muhimu ndani ya CCM au serikalini.

Ukiangalia CV zao zimetulia na vetting ilifanika vizuri.

HONGERA SANA DR SAMIA SULUHU HASSAN
 
Sijui ni sababu ipi waliyoitoa iliyowafanya kuongeza idadi ya hao wajumbe, binafsi hata hao kumi na tano sikuwahi kuona umuhimu wao, kuongeza wengine watano ni kuongeza rundo la watu wasio na kazi ya kufanya zaidi ya kumsifia mwenyekiti.
Hapo Chadema Halmashauri kuu mpo Wangapi?
 
Back
Top Bottom