kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 118
- 237
"Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma.
Katika mkutano huo ulikua na Ajenda tatu ambazo ni Kupokea na kutathmini Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25, Kupokea na kutathmini kazi za chama na jumuiya zake (2017/22) na Kuchagua viongozi wa kitaifa.
Katika mkutano huo ulikua na Ajenda tatu ambazo ni Kupokea na kutathmini Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25, Kupokea na kutathmini kazi za chama na jumuiya zake (2017/22) na Kuchagua viongozi wa kitaifa.