Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,167
- 12,652
Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi.
Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine.
Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki. Wanasiasa na vyama wanafanya makosa, uwe tayari kuyaona na kuyanyooshea kidole. Kuwashabikia kunaweza kukuzuia kufanya hivyo. Si sifa kuitwa mnazi wa CCM au CDM. Kuwa huru katika fikra zako.