Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tabia ya ubinafsi inaliua taifa. Mali ya taifa siyo ya mtu mmoja,siyo ya familia moja. Na watu wengine wanatuambia kwamba hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii wakati tunaona wao wenyewe ndio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani. Kila mtanzania anajua namna hilo kundi...
13 Reactions
89 Replies
5K Views
Nasema hapana tena sio vizuri hata kama watanzania ni wajinga wa fikra na hawajui haki zao ila hii ni tooo much mnakera. Yani mnashindana tu kuagiza na kuingiza asset Kwa kuiba rasilimali za umma...
27 Reactions
111 Replies
7K Views
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao. Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa...
14 Reactions
53 Replies
4K Views
Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo...
18 Reactions
58 Replies
5K Views
Hawa wanaojifanya kuchukia leo ndio wale wale waliokuwa wakifurahia kauli za kufuru na za kifedhuri kuwa Lowasa asichaguliwe, kuwa Rais ni mgonjwa atafia Ikulu na hatutaki misiba ya taifa, au zile...
3 Reactions
10 Replies
689 Views
1. Umaskini 2. Afya 3. Elimu 5. Siasa 6. Miundo mbinu 7. Maadili na ulinzi kwa watoto na wazee 8. Mazingira 9. Kilimo na umwagiliaji 10. Uhuru wa Kujieleza 11. Sheria, Kanuni na Taratibu 12...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na...
26 Reactions
116 Replies
6K Views
Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni...
-3 Reactions
67 Replies
4K Views
Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka. Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71. Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi...
12 Reactions
143 Replies
8K Views
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Leo kimetikisa Iringa baada ya kishindo cha Kongamano la Kanda ya Nyasa kufanyika Mkoani humo . Bado haijafahamika hawa Chadema huwa wanatumia...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi? Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Atoa mfano wa ndege ya airbus kukamatwa Uholanzi baada ya baraza la usuluhishi la kimataifa kuona mwekezaji alipwe fidia kwa mkataba uliovunjwa na serikali. Jopo la waamuzi huwa na watu watatu...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Kauli yako katika clip hii ni kitisho kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wetu Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan. Naomba nikukumbushe kwamba hayati Rais Dokta Magufuli alifanya kila...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Habari za weekend! Nimefuatilia pia nimefurahi mmejitokeza wana CCM wengi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama.ni jambo jema. Katika nafasi 20 za NEC taifa nimeona majina mengi ya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Ametasema hayo alipoongea na Diaspora waishio Marekani. "Naomba kumwambia ukweli Rais Samia,asiwaamini wanaomsifia wakati si kweli.Hao ni wachumia matumbo yaoWanayo malengo yao" Kuhusu Diaspora...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Naulizia tu ili nijipe uelewa mpana wa Katiba yetu Nini nafasi ya Bunge na wabunge katika uteuzi wa waziiri mkuu? Dominica njema
3 Reactions
23 Replies
989 Views
STAR TV: MAHOJIANO MAALUMU NA YERICKO NYERERE.
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…