Huu ndio muonekano wa Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Iringa utakavyokuwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,759
218,380
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinatarajia kuanza ujenzi wa ofisi yake ya kisasa ya Chama kwa Mkoa wa Iringa .

Huu ndio Muonekano wa ofisi hiyo utakavyokuwa

Toa maoni yako

FB_IMG_1670742404916.jpg
FB_IMG_1670742412218.jpg
FB_IMG_1670742419214.jpg
 
Tumewashtukia, tutoe maoni hapa mrudi baadae kutuomba mchango.

Tunataka chumba kimoja tu
 
Hii ni ndoto ya mchana! kwa kwa viongozi wa CDM walivyo wabnafsi hiyo picha ya jengo itaishia kutafunwa na "trojan virus" kwenye komputa zenu.

Jengo kama hilo ilitakiwa lijengwe pale ufipa kwenye msimu wa 2010-2015 kipindi hicho Mbowe alikuwa anaogelea kwenye lumbesa ya ruzuku iliyo takata!
 
Back
Top Bottom