Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya uharibifu wa Tanzania 2005-2015

Tanzania iliharibiwa makusudi
Tanzania ilipotea

Bado Tanzania itadumbukia shimoni

Bahati mbaya wanaua media za kiuzalendo na wanazijenga media za kiarabu ( hii nchi haipo mbali kupasuka)
 
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
J.K "Joka Kuu"
 
Nyerere kama binadamu alikuwa na mapungufu yake lakini kwenye kuelewa uongozi alikuwa vizuri.Angalia alipo amua kumupa Mkapa Nchi.

Mkapa kwenye kipindi chake chote hakukopa na akahakikisha anapungiza madeni ambayo Nchi iliyokuwa nayo-tunaweza kusema ariruhusu soko huria kwa 100% but ukweli ni kuwa kipindi cha Kikwete FDI ilikuwa kubwa zaidi na mikopo ikaongezeka maradufu.
 
Stupid Nonsense
 
Halafu jamaa likawa Vaaco Dagama tu, kati ya siku 365 siku 270 linatembea abroad !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom