Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua...
Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika...
Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani.
Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi...
Ukiangalia mwenendo wa hawa mawaziri wawili ambao wako sehemu nyeti wanavyo peleka mambo muhimu hovyo na mheshimiwa Rais amejenga imani nao kubwa, nahofia taifa linaangamia na kuna siku litakuwa...
Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa.
1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai...
Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022
Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa...
Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania.
Dr. W. Slaa...
Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao.
Toka...
Kuna wanasiasa ambao walikuwa mabingwa wa kutetea chama na viongozi wao hapa JF kwa masaa 24/7, yaani hata uanzishe thread ya kukosoa CCM saa 7 usiku baada ya dakika tatu utaona umejibiwa.
Leo...
Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kukifanya kilimo kuwa biashara upatikanaji wa masoko ya kuuza mazao nje ya nchi umeongezeka.
Mauzo ya mazao ya mchele yameongezeka kutoka Tan 184,521...
WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma...
Wanabodi,
Jana nimetokea kukutana mahali na Dr. Harison Mwakyembe just by chance na kuongea nae briefly, not kuzungumza nae, but kuongea!, (kuzungumza ni more formal, kuongea ni informal...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ya reli ya kisasa ya SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere na barabara za mwendokasi kutoka...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu...
Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa...
Matokeo ya mkutano Uchaguzi wa NEC-CCM,umetoa funzo kubwa!Rais Samia ameliona hilo,ndio sababu ya kwenda kulivunja Baraza lake la Mawaziri!
JPM amewatisha walioko Hai, na Wakiwa Madarakani...
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa.
Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote.
Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania...
Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya...
Habari za asubuhi Wana JF,
Mimi ni Mtanzania wa kawaida na kila siku nipo kwenye mizunguko yangu ya kawaida na wadau wangu wapiga debe, mamantilie, machinga, waosha magari na day workers na...
Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.