saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa.
1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyechaguliwa kikatiba kujiuzulu
2. Mbunge Luhaga Mpina kuibana Serikali bungeni kwenye mambo yanayowagusa wananchi mfano Mfumko wa Bei, kukatika kwa umeme, Kupanda kwa bei ya mafuta, mgogoro wa bei ya mbolea na Deni la Taifa ambapo hadi mwaka unaisha Serikali haijashughulikia matatizo hayo
3. Mpina kukatwa jina na vikao vya CCM kugombea nafasi ya NEC licha ya wagombea kuteuliwa karibu 170
4. Dkt. Bashiru Ally kuwataka wakulima wadai haki waache kusifu na kushukuru akashambuliwa na kina Kigwa, Lusinde na Msukuma
5. Lukuvi na Simbachawene kushindwa NEC
Mengine tuendelee