Sitaki, sitamani na sitarajii kumuona kiongozi yeyote;
(a) Anaharibu mahusiano baina ya nchi yetu na nchi nyingine.
(b) Anaharibu mahusiano baina ya wanachama wa tawala na wale wa vyama vya...
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewapiga marufuku wafanyakazi wote walio chini ya wizara yake kusafiri kwa ndege katika daraja la kwanza, akieleza kuwa huo ni ubadhirifu wa fedha za...
Kwa mfano unawezaje kujua sasa serikali inafanya jambo kwa ajili ya Tanganyika na sasa inafanya kwa ajili ya Muungano??
Je, Rasirimali zilizopo Tanganyika ni mali ya Muungano ama ni mali ya...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro mh Fatma Mwassa amesema itakuwa ni aibu endapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya ukosefu wa Maji.
Mh Mwassa amewataka Wananchi...
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana...
Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali".
Anayazungumza haya akiwa na...
Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi...
Mwenezi wa sasa wa NCCR Dkt. Frank anasema Kaimu mwenyekiti wao mh Ambari ameuza Majumba yake, mashamba, magari na mali nyingine ili kupata Fedha za kuendesha chama
Naye mwenezi wa zamani Profesa...
Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao.
Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au...
Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi:
Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao?
“Insanity is doing the same thing over...
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu...
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kuwa, mtu mwenye nia ovu akikudanganya na wewe ukaupokea uwongo wake anakudharau.
Rais Obama aliwahi kutamka kuwa Afrika haiendelei kwa sababu viongozi wake badala...
Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa...
Siku zote tumesema humu na kurudia tena na tena , kwamba Usaliti ni laana mbaya sana , tumetoa mifano Mingi mno kwamba SHETANI HAJAWAHI KUWA NA RAFIKI , lakini tumepuuzwa .
Huko Tanga, Chama cha...
Kama ulikuwa na shaka kuhusu ujenzi wa Bwawa la JNHPP kwamba litaanza lini kufanya kazi ya kuzalisha umeme, basi wakati wa kumaliza kabisa shaka zako umefikia tamati.
Serikali imesema kwamba...
Kumbe mama alipigwa za uso, hey pita njoo uombe msamaha kumbe mlikopa logo Kwa makubaliano ya mkataba wa mda mfupi namkawachukua vijana waliopo field waje warekod filamu ya royal tour
Ndomana...
Uchaguzi wa ccm umemalizika Dodoma kwa kuwaongezea muda mwenyekiti yaani Rais wa Tanzania na mwenyekiti mwenza Rais wa Zanzibar, Waliopiga kura sio wageni ni wana ccm wale wale na hata...
Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta...
Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli,
<<<Hebu msikilize kwa...
PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana.
Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea...