Kama yanayosemwa na NCCR ni kweli basi ni dhahiri Freeman Mbowe amefilisiwa na CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Mwenezi wa sasa wa NCCR Dkt. Frank anasema Kaimu mwenyekiti wao mh Ambari ameuza Majumba yake, mashamba, magari na mali nyingine ili kupata Fedha za kuendesha chama

Naye mwenezi wa zamani Profesa Simbeye amesema James Mbatia alitoa shamba lake la Bagamoyo kwa NCCR ili kijengwe Chuo cha uongozi pia alitoa Fedha zake binafsi kukinunulia chama nyumba kule Musoma na Bunju

Sasa kama Ambari na Mbatia wamejitoa namna hii kwa Chama chao itakuwaje kwa Bilionea Freeman Mbowe wa Chadema?

Yawezekana Mbowe aliongiza Matrilioni ya tsh pale Chadema ndio sababu WanaChadema wa nchi nzima wamegoma asing'atuke mwakani

J4 Mungu akubariki sana!
 
Upepo ukivuma kwa kasi ni lazima nyeti za mtetea hubaki kuwa hadharani.
 
Ni uwongo wa kupitiliza, chadema ndio iliyo mpa mbowe pesa sio another way round walahi
Na mbowe sio milionea wala trilionea na wala hawezi fika hapo labda dunia nyingine sio hii walahi
Acha kulisha watu matango pori, yewomii uwiii
 
Familia ya mbowe ni matajiri tangu mkoloni,nyerere alikuwa anagongea msoso kwa mzee aikael mbowe akitoka pugu kuja town kupigsnia uhuru.usimchukulie poa
 
Wewe mbowe huwezi kumfahamu maana mjini wewe mgeni hujui hata makaburi yako wapi, hapa mjini
 
Huu ni uzi wa uchonganishi na kutweza utu wa watu.Ubilionea au ufukara wa mtu atabakia nao muhusika.Muhusika ndiye anajua ukweli.Kiatu humbana aliyakivaa.Upigaji ramli hausaidii.
 
Familia ya mbowe ni matajiri tangu mkoloni,nyerere alikuwa anagongea msoso kwa mzee aikael mbowe akitoka pugu kuja town kupigsnia uhuru.usimchukulie poa
Familia tajiri miaka hiyo hapo Dar zilikuwa zinahesabika. Mohamed Said atusaidie kama familia ya Mbowe ilikuwa miongoni mwa matajiri wa Mzizima miaka hiyo.
 
awezekana Mbowe aliongiza Matrilioni ya tsh pale Chadema ndio sababu WanaChadema wa nchi nzima wamegoma asing'atuke mwakani
Bora ungekaa kimya kuficha umbumbumbu wako!
Hivi umesoma kivhwa vha habari ba habari yenyewe? Kweli wewe ni mbumbumbu wa kuzaliwa!
 
Mwenezi wa sasa wa NCCR Dkt. Frank anasema Kaimu mwenyekiti wao mh Ambari ameuza Majumba yake, mashamba, magari na mali nyingine ili kupata Fedha za kuendesha chama

Naye mwenezi wa zamani Profesa Simbeye amesema James Mbatia alitoa shamba lake la Bagamoyo kwa NCCR ili kijengwe Chuo cha uongozi pia alitoa Fedha zake binafsi kukinunulia chama nyumba kule Musoma na Bunju

Sasa kama Ambari na Mbatia wamejitoa mamma hii kwa Chama chao itakuwaje kwa Bilionea Freeman Mbowe wa Chadema?

Yawezekana Mbowe aliongiza Matrilioni ya tsh pale Chadema ndio sababu WanaChadema wa nchi nzima wamegoma asing'atuke mwakani

J4 Mungu akubariki sana!
Mgonjwa wa degedege umeshaanza kuweweseka
 
Back
Top Bottom