Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake. Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa...
26 Reactions
73 Replies
8K Views
Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana...
0 Reactions
9 Replies
957 Views
Habari wadau. Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania.. Kwa...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang. Diallo amesema...
27 Reactions
175 Replies
16K Views
Kuna vitu Rais yoyote akifanya ni rahisi mno kutengeneza maadui wapya weengi mno La kwanza ni kuongeza kodi La pili ni kupiga marufuku 'watu wasiongee' Kiongozi yoyote akifanya hayo ni dhahiri...
38 Reactions
201 Replies
19K Views
Jana Tanzania tuliandika Historia kwa ufunguzi wa bwawa la Nyerere (JNHPP) kuanza hatua ya kwanza ya ujazaji maji hii ni hatua kubwa kwa taifa letu na kitu kingine nilichogundua ni kwamba Rais...
1 Reactions
4 Replies
697 Views
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Kiongozi wa Taifa lolote lile lililo fanikiwa kiuchumi na kimaendeleo basi huyo nikiongozi mwenye maarifa. Ningumu sana kwa kiongozi wa Taifa lolote lile duniani kuwa namafanikio chanya kama...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo. Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na...
22 Reactions
85 Replies
6K Views
=== Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi. Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
CCM : Yatangaza mkakati kukabili kasi ya M4C CHAMa cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetawala mjadala wa mkutano mkuu wa nane wa Chama cha Mapinduzi (CCM), unaofanyika mjini hapa. Katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Hizi chaguzi ebu zifanyiwe marekebisho kwenye usimikaji wa viongozi wa uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi, tunataka msimamizi awe huru nasio bound na mkono wa dola. Hili group la walimu sijui...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Watanzania tunahitaji kama taifa au nchi kuwa na tume ya ukweli na maridhiano ya kitaifa na siyo CCM na CHADEMA. Tume ya Ukweli na Maridhiano ya kitaifa itahusisha wananchi wote bila kujali...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania NIDA ina uhalali na ulazima gani kuwepo? Kwa mujibu wa utafiti wa taasisi ya Research ICT Africa iliyochapwa 16 Julai 2021, NIDA imefikia tu 6.2% ya wananchi...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu! Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi...
59 Reactions
166 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa. Leo kwenye uzinduzi wa kuanza kujaza maji kwenye bwawa la Nyerere, Waziri wa Nishati bwana January Makamba ametema nyongo.. Akitoa maelezo ya bwawa Hilo Waziri Makamba...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameunda tume Kuchunguza Upigaji kwenye ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe ambako kiasi Cha zaidi ya Bil.2.7 zimeteketea huku ujenzi wa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Ameongeza kwa...
14 Reactions
121 Replies
22K Views
Back
Top Bottom