Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,081
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv
 
Wewe utakuwa fake kutoka Geita!

D5101F27-B51C-438C-BF08-674965F2160B.jpeg
 
Back
Top Bottom