Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
Salaam wanajamvi,
Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.
Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri...
CCM YASEMA IPO TAYARI KWA USHINDI AMANI, KATA SABA
Shaka aeleza mwenendo wa kampeni umetoa mwangaza kushinda kwa kishindo
Na MWANDISHI WETU
WAKATI wananchi katika Jimbo la Amani, Zanzibar na...
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,
Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate...
Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo.
1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye...
~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati?
~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022.
~ Crane za mizengwe za January?
~...
Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya...
Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa.
Hivi karibuni imetolewa...
LRCT ni taasisi ya Serikali, ni mali ya umma siyo mali yenu
Tumieni nafasi zenu kutumikia wananchi
Mtumishi wa umma hauna hati miliki na taasisi ya umma
Tumikieni wananchi kwa...
Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji kwenye bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) leo Desemba 22, 2022
Maharage Chande, Mkurugenzi wa...
Wadau nawasalimu,
Niende kwenye swali langu moja kwa moja. Je, pilika pilika za Kikosi Kazi zimeishia wapi na madai yao 18 au ni kanyaboya kama lile la Tril. 360 za Barrick?
Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla...
Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22,
===
Tufahamu lengo la...
Waswahili wana misemo miwili mikubwa sana inamafundisho makubwa ndani yake, mmoja ni Ule msemo wa "asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na msemo wa pili ni ule wa "Majuto ni Mjukuu"
Bila shaka...
Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku.
Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi...
UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME?
Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi)...
Leo December 22 Rais Samia Suluhu atazindua hatua ya kwanza ya kuanza ujazaji maji katika bwawa la Nyerere (JNHPP) Ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 78.68.
Tanzania tunaandika historia ya...
Ustaadh Mashaka amesema Uislamu ni dini ya Unyenyekevu ndio sababu hayati Maguful alipochangisha Fedha za Ujenzi wa Msikiti kutoka kwa Wakristo ndani ya Kanisa Katoliki pale Chamwino Bakwata...
Haya yamebainishwa na Mkurugenzi wa Tanesco Mh Maharage Chande , alipokuwa anazungumza mbele ya Rais katika hafla ndogo ya uzinduzi wa Ujazaji wa Maji wa Bwawa la Nyerere huko Rufiji .
Maharage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.