Wakuu
KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika.
ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI...
Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi...
Kesho ni sikukuu ya Noeli, siku maalum kwa wanadamu hasa kwa wenzetu wenye madhehebu ya kikristu duniani.
Nikiwa muumini wa kuona haki inatendeka kwa kila mwanadamu hasa hapa kwetu Tanzania...
Boarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours. - Tundu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia...
Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha...
Kwakua unatafuta madaraka ili upate pensheni baada ya kustaafu, na kwakua madaraka kwako ni ulinzi wa uhakika wa kutibiwa unapopata maradhi basi unafikiri kila anaetafuta madaraka ana fikra za...
Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini...
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema changamoto ya kukatika kwa umeme itaendelea kuwepo, hadi pale marekebisho na maboresho mbalimbali yanayoendelea kufanyika yatakapokamilika.
Miongoni mwa...
Wakati ndio unaingia hapo wizarani umeme ukaanza kukatika hovyo ukawa unajitetea kwamba unafanyia marekebisho mitambo maana Magufuli alikuwa anawasha tu bila service.
Chawa wako hapa walikutetea...
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato
CHADEMA walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania
Nchi ngumu sana!
Nimeona baadhi ya watu wanapinga alichosema msanii Abigael Chams.
Abigael Chams amesema huko kwao wazungu wengi wanajua Afrika ni kijijini ,kuchafu na kumejaa umasikini wa kutisha sana...
Mvua zimenyesha za kutosha mabwawa yamejaa Makamba usije na visingizio vipya.
Mvua zimenyesha za kutosha mito imefurika mabwawa ya maji yamejaa sasa makamba tuone atakuja na visingizio gani vipya...
Mradi huu siyo mkubwa sana lakini umetumia miaka mitano!
Mradi huu unahusisha Barabara za Kilwa, Bandari na Kawawa, miaka mitano sasa unajengwa na kampuni ya Kichina ya SINOHYDRO na la zaidi...
Ndani ya muda mfupi sana Kuna maajabu yanaendela pale kisarawe.
Na hii ni kutokana na ubunifu, uthubutu na umakini wa Hali ya juu wa mkuu wa wilaya Nikki wa Pili ndani ya muda mfupi sana.
Nikki...
Moja ya mambo ambayo yamekua yakilisumbua taifa letu vijana wanaopewa nafasi kwenye uongozi kushindwa kuacha alama.
Lakini Kuna huyu mheshimiwa Nikki wa Pili, amekua tofauti sana na vijana wengi...
Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu.
Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao.
Mbaya zaidi umeme unakatika na...
Zao la tumbaku ni moja ya zao la biashara ambalo lilikuwa linaingiza pato kubwa sana serikali,lakini ndilo zao lililokuwa na utitiri wa kodi unao mgusa mkulima moja kwa moja na kumtia umaskini wa...
Watz mnaweza kudhani sio kitu serious. Ila kumwita mwanamke kwa kuvizia majina ya jinsia ni sexism. Ni Aina ya jambo halina heshima. Ni mbinu za kufanya mtu wa kawaida kwa hiyo mambo mengine...