Heri ya Noeli kwa wapenda haki na mageuzi wote Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kesho ni sikukuu ya Noeli, siku maalum kwa wanadamu hasa kwa wenzetu wenye madhehebu ya kikristu duniani.

Nikiwa muumini wa kuona haki inatendeka kwa kila mwanadamu hasa hapa kwetu Tanzania nawatakia watanzania wenzetu sikukuu njema.

Haswa wale wapenda mageuzi na haki na wanaopinga tawala za kimabavu na kiimra juu ya haki za mwanadamu.

Nawaomba tuzidishe nguvu kupambana na wadhalimu wa haki za binadamu na wasiyopenda kukosolewa.

Wana Chadema, na wale wa vyama vya upinzani wa kweli na wale wa ccm wanaopinga udhalimu wanaotendewa watanzania wenzetu.

Salaam kutoka kwa Mmawia kuelekea mwaka mpya 2023.
 
Mmawia, tunashukuru kwa salamu. Na kwa kuwa umesisitiza haki, basi Mungu akawezeshe neno lako kusimama, na wale wasiopenda hakj, wakaangamie pamoja na ibilisi aishiye ndani yao.
Amina kamanda Bams.

Kwakuwa Mungu ni wa wote basi naamini upande wetu tunaopigania haki tunaweza kuuanza mwaka 2023 kwa mafanikio makubwa.
 
Umebanwa haja kubwa wewe! kwani hkn haki Tanzania??......tatizo una roho mbaya baaasi!! ukiona mwenzio anacho unamuita fisadi/roho mbaya/mkandamizaji!

Umaskini wako huko huko imakpondeni kwako!! watu wooote hawawezi kufafanana! hata Malaika hawafanani, usituletee uchuro wa haki zako za kibinafsi kulia lia tuuuuu!!

Jipendekeze tu uone cha moto!! umewasikia Mabomu ya machozi??...BASI SAFARI HII UTAYAJUA!
 
Kwakuwa Mungu ni wa wote
Weeee! rudi madrsa kasome kwa bidii sana, ukijua wazi kuwa ''Mungu si wa wote!! yamkini hata wale!! wanao sema Bwana Bwana! hawataingia ktk ufalme wa Mungu nakwambia hivi ili uelewe!! ...usirudie tena!
 
Weeee! rudi madrsa kasome kwa bidii sana, ukijua wazi kuwa ''Mungu si wa wote!! yamkini hata wale!! wanao sema Bwana Bwana! hawataingia ktk ufalme wa Mungu nakwambia hivi ili uelewe!! ...usirudie tena!
Mbona unaandika kwa taharuki kama ugomvi vile?Kwani hapo nyumbani kwenu hamjaletewa zawadi (in terms of msaada)mbuzi na mchele wa sikukuu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo lenu nyinyi uvccm ni ubinafsi na tamaa vimewajaa kichwani hivyo kuwaondolea uwezo wa kufikiri na kutenda.
Ubinafsi/tamaa ni hulka ya Ubinadamu ! havikwepeki na ndo Mungu alivo pia!! na ccm wameumbwa kwa mfano wa Mungu! hata Shetani yuko ivoivo km Baba yake!

ukitaka ukosane na shetani kamwabie kuwa ana ubinafsi na tamaa uone kama hajakutosa kwenye majini yake yakusurubu mpaka ukome!!

wewe km huna ubinafsi na Tamaa ina maana kwa shetani haupo na kwa Mungu haupo!..kote kote umepuuzwa, ukipata bahati sanaaa siku ya mwisho utakuwa kuni tu!!

lkn mara nyingi mnakufaga tu! halafu watu hawashtuki! mnaachwa mnaliwa na mbwa fisi/mbweha nk! km unabisha kwa hili jifanye kufa uone km mtu atalia!
 
Mbona unaandika kwa taharuki kama ugomvi vile?Kwani hapo nyumbani kwenu hamjaletewa zawadi (in terms of msaada)mbuzi na mchele wa sikukuu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwani mie dog nakula mbuzi wenye gout hao??...eti kabisaa mchele ndo umeona Bonge la zawadi!!....aibuuuuu sanaaaa!
 
Huna cha kuniambia wewe zaidi ya mawazo mgando ya maccm wenzako
sasa sina cha kukuambia wkt umesoma na umejibu??..na bado mtalia sana mbwwa nyie sie ni kukata na kufunua ndo maana hamkusoma tuta waburuza mpaka maji muite maaaa subiri tu mwendo wa kurithi kwa kwenda mbelee ccm hoyeeeeeee
 
Back
Top Bottom