Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Naona watu wanafurahia kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama, ila tatizo sijui kama limezungumzwa na kuwekewa mipaka 1. Kuna kitu kimeitwa lugha ya staha, je, ni pamoja na kutokosolewa? Je, ni nani...
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Moja na mawaziri viroba basi ni huyu jamaa, tatarira zinakuwaga nyingi Mara aje Kwa bajaji Mara pikipiki Mara Kwa mguu lakini Hakuna kinachofanyika yaani najiuliza sijui Kwa nini vijana tukipewaga...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna watu watasema suala liko Mahakamani hivyo lisubiri, lakini sio kweli. Kesi iliyoko mahakamani ni kati ya wanachama 19 waliokuwa Chadema na chama chao cha zamani Chadema na haihusiani na...
1 Reactions
18 Replies
978 Views
Serikali imetakiwa kuwawezesha wanawake hususani kwenye kilimo kwa kuwapatia teknolojia za kisasa za kilimo mbalimbali zinazoweza kupunguza athari ya mabadiliko ya Hali ya hewa ambazo zitasaidia...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%.. Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Madai ya baadhi ya watu dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Mbowe eti kuwa "amelamba asali", madai hayo yana lengob la kudhihaki jitihada anazo zifanya Mhe. Rais za kuleta mardhiano ya kisiasa...
1 Reactions
5 Replies
587 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, umempongeza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuruhusu mikutano ya hadhara nchini. Mbali na kuondoa zuio la mikutano ya...
1 Reactions
9 Replies
712 Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara. Sababu ni hizi hapa. 1. Wafuasi wa...
24 Reactions
61 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na...
6 Reactions
87 Replies
3K Views
Kuandaa mkutano wa hadhara ni gharama kubwa kuanzia usafiri , malazi, na posho za kulipa wajumbe mbalimbali kama matangazo etc, vyama vyote vya upinzani hawana hiyo hela hivyo mtasubiri sana...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa wanaojua vizuri nature ya nchi yetu kila kiongozi akiwa madarakani anakuwa hafai.kwa tuliomshuhudia moringe sokoine alikabiliwa sana na ukosoaji kwa sera yake ya ujamaa! Na wahujumu uchumi...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana...
30 Reactions
161 Replies
8K Views
Ndoto za Chadema kukamata Dola zimezikwa rasmi, sasa hivi mtasubiri huruma ya CCM iwape majimbo mangapi ili kamrija ka ruzuku kasikate. Maana mmekubali kupangiwa na CCM, CCM ndio itaamua sasa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Katiba inampa mamlaka Rais kuteua na kutengua nafasi fulani za wasaidizi wake bila ya kuhojiwa. Hili lina maana kubwa na lipo kwenye nchi zote Duniani. Kuna watu, watu fulani wakitenguliwa...
1 Reactions
2 Replies
478 Views
Hii ndio Taarifa fupi iliyosambazwa na Viongozi wa Kanda hiyo hadharani , kwamba Muda wowote kuanzia ninapoandika hapa , Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitatoa ratiba Kabambe ya mikutano ya...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Utunzaji wa Siri za Serikali- Excellent 2. Diplomasia ya Uchumi na Ushirikiano wa kimataifa-Excellet 3. Ukweli na Uwazi- Excellent 4. Utulivu wa Siasa za ndani ya CCM- Excellet 5. Utulivu...
3 Reactions
2 Replies
510 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…