Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa
===
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?
Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?
Natanguliza shukrani.
Uteuzi aliofanya Mhe. SSH kwenye vyombo nyeti bado unatia Shaka; kasi ya walioteuliwa haiendani na speed ya washauri wa karibu wa mama kutekeleza 4-R.
Wengi aliowateua ni watu wanaofaa kwenye...
Mimi ni muumini wa Rais Magufuli Hayati. Magufuli alikuwa na upinzani mkubwa sana ndani ya Chama chake kama ambavyo imedhihirika kuwa hata Makamu wake wa Rais hakuwa anamuunga mkono bali rafiki wa...
Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini?
Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile?
Yawezekana shetani...
Mwenye kuwaza kwa Ubongo ndie atanielewa!
Kama unawaza kwa mdomo hutanielewa!
Kilichokuwa kikiwapa kianzio majukwaani hakitakuwepo tena maana Polisi hawatawagusa, ili mpate pa kuanzia.
Mtaachwa...
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza...
Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu
1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata...
Binadamu tumama pungufu yetu na mapungufu hayo ndiyo yaliyo mzaa wingi na wingi ikamzaa ushauri ushauri aka kaa kwa kila mtu nahapo ndipo ika onekana thamani ya kila mtu
Kwamba ninapo shindwa...
Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais.
Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na...
Juzi niliandika hapa kuwatahadharisha Chadema wasikurupuke kwenye Mikutano ya hadhara wazindue kwenye ngazi ya Taifa,Kanda kuamsha ari ya Wananchi kisha ndiyo waende Level ya chini.
Leo nimeona...
Watanzania tuwe wakweli.
Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa...
Nianze kwa pongezi kwa vyama vyote vya siasa kwa kupokea "go ahead" ya kufanya mikutano ya hadhara baada ya katazo la muda mrefu.
Nimpongeze pia Rais Samia Suluhu kwa uamuzi huo wa busara.
Zaidi...
Inasikitisha huyu mzee hajielewi tena na kabaki sasa kutafuta kiki kwa lazima. Amegundua haitajiki tena na kabaki kutafuta muonekano kwa nguvu sana hasa mitandaoni.
Pamoja na kwamba amekuwa...
Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena...
Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo...