Mimi ni muumini wa Rais Magufuli Hayati. Magufuli alikuwa na upinzani mkubwa sana ndani ya Chama chake kama ambavyo imedhihirika kuwa hata Makamu wake wa Rais hakuwa anamuunga mkono bali rafiki wa wapinzani wake.
Hali hiyo hiyo imeanza kumkuta Mama Samia na mwaka huu ndio itashamiri sana sana. Ameanza Ndugai, Sirro, sasa huenda Diwani Athumani pamoja na Wajane wa marais wastaafu mpaka ifikapo disemba mwaka huu tutasikia utekaji, kupotezwa, wapinzani wataumizwa sana n.k
Kwa kifupi hadi disemba mwaka huu Mama Samia ataitwa Dikteta