Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,164
4,581
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
 
Mikutano ya hadhara ndiyo njia rahisi ya vyama kujitambulisha kwa wananchi, kueleza sera zao, kueleza mapungufu ya serikali katika kuwatumikia wnanchi na hatimaye kuwashawishi wananchi wajiunge nao, wawachague ili waunde serikali na kuwa na wabunge wengi katika uchaguzi utakaofuata.
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Mkuu,

Unaelewa hata hapa unafanya mkutano wa kisiasa kueleza kwamba mikutano ya kisiasa haina maana?

Bila kuhukumu usahihi au upotofu wa hoja yako, unaelewa kwamba, bila kuwa na mikutano ya kisiasa, hata hiyo hoja yako kwamba mikutano ya kisiasa haina maana isingesikika?

Unaelewa kwamba una ji contradict?
 
Tozo zitapungua,mikopo itapungua na ujenzi wa nchi utakimbia,unasikia wewe mburura!
 
Mkuu,

Unaelewa hata hapa unafanya mkutano wa kisiasa kueleza kwamba mikutano ya kisiasa haina maana?

Bila kuhukumu usahihi au upotofu wa hoja yako, unaelewa kwamba, bila kuwa na mikutano ya kisiasa, hata hiyo hoja yako kwamba mikutano ya kisiasa haina maana isingesikika?

Unaelewa kwamba una ji contradict?
Ulimaliza la saba we kenge?
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.

Tangu mikutano iruhusiwe Kuna watu Wana hasira. Hiyo marekani unayoiongelea mbona akina Trump wanafanya mikutano? . Tena wenyewe Wana midterm elections na wanaweza kumrecall mwakilishi wao.

Halafu huo muda tuliokuwa hatufanyi mikutano Nini kilibadilika? Deni limeongezeka mpaka Trilioni 92, mfumuko wa Bei juu nk.
 
Huna akili.
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Acha utopolo wako unadhani Kwa siasa zetu za Afrika watu wanahangaikia maisha hata wengine hawana hii TV na hawasimi magazeti Wala vitabu, mashuleni ndio hao wanafunzi badala ya kujibu maswali wanaandika matusi!!
Inashangaza sana haonwaalimunwanapimaje wanafunzi na ripoti zaobhuko nyuma zikoje?

Mikutano ya hadharani ndivyo unayoleta wanachama na wafuasi na ndio kukosoana na Serikali inapofanya uchafu! Bungeni kukilala upinzani unaamsha!
Jielewe acha Uchawa!

Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
 
Digital politics?
 
Je ni sahihi kulinganisha mazingira ya kisiasa ya hapa kwetu na yale ya mataifa ya magharibi yaliyoendelea? Mimi nafikiri si sawa kwa asilimia kubwa. Ila kubwa zaidi ni ukwelo kwamba Tanzania ndio kwanza tuna miaka 30 za siasa za ushindani. Wenzetu wana muda mrefu kiasi kwamba vyama vyao vimejijenga kwa muda mrefu huku wakisaidiwa na maendeleo ya TEHAMA katika kuwafikia wa nachama wao. Napongeza hatua ya kuon Dr oa zuio la mikutano ya vyama vya siasa na dhamira inayoonyeshwa ya kuwa na mabadiliko ya katiba!
 
Ulimaliza la saba we kenge?
Mbona mimi nimekupa hoja, kwa heshima tu.

Unajuaje mimi nimesoma kwenye mfumo wenye "la saba"? Unaishi kwa kukariri?

Badala ya kujibu hoja, kwa nini unanipa maneno unayoona hayana staha?

Mimi na kenge wote ni wanyama tu, kwa hivyo, kama unaona umenitukana, tafuta tusi jingine.

Hapo hujanitukana bado. Kama mpenda wanyama, naonesha mshikamano na kenge wote wa dunia hii.

Jaribu tena.

Zaidi, jibu hoja kwa hoja.

Acha "ad hominem attack", kumshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja.

Mara nyingi "ad hominem attack" zinaonesha mtu anayetoa hiyo attack hana hoja.
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.

Sio kweli mimi ni diaspora na unayosema sio kweli
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Bungeni Kuna Wapinzani? Bunge la USA Lina Democrats pekee yake kama letu?
 
Back
Top Bottom