Sijui umekula maharage ya wapi?Imekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Mpya ni nani ? Tujuze mkuu Mambo mengiImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
PumbaImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Alikuwa before new post.Sijui umekula maharage ya wapi?
Kwani Kapilimba yuko Marekani?
Usikariri ndugu
Sababu zilizopelekea Makonda kupigwa ban kukanyaga Marekani ndiyo hizo hizo zilitumika kutokumpeleka huko Diwani.Imekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Prof. Gaston alitokea Tis?Imekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Unapelekwa NY kwa mtaji upi?Imekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Kwahiyo umeona New York ni dampo la vichaa?
Polisi atafanya nini New YorkImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
KAPIME KIWANGO CHA AKILI ZAKO MILEMBE ACHA KUKARIRIImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
KaponzwaImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?
Tutajie walau director mmoja wa tiss aliyepelekwa USAImekuwa ni kawaida kwa ma director wa TISS kupelekwa Marekani baada ya kuondolewa kwenye nafasi zao. Kwanini Diwani Athuman hajapelekwa Marekani?