Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa...
Huyu "DC" mstaafu wa Iringa mjini, aliundiwa zengwe, wakahakikisha ametumbuliwa.
Na wakafanya sherehe baada ya Kasesera kutumbuliwa. Yeye akaingia mtaani, maisha yakasonga.
Juzi kwenye U-NEC...
Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama.
Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema...
Mama ameshafanya mabadiliko kwenye kila eneo nyeti na leo amegusa usalama wa taifa.
Tayari alishamaliza IGP, CDF, Spika, Takukuru, n.k bado serikali yake tu ndio hajaunda.
Majaliwa hatoboi 2023...
Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa.
Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote.
Vyama vya idara mbali...
Moshi kilimanjaro
Katika sakata Linaloendelea Mjini Moshi Dhidi Ya Uporaji Na matumizi Mabaya Ya Madaraka Kwa Katibu Wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathani Marco Mabiya Dhidi Ya Aliekuwa Diwani Wa...
Rais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake.
Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba...
Ndugu zangu watanzania,
Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama...
Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo...
Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni...
Kwa nimjuavyo chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu.
Chawa hutokana na uchafu. Mtu mwenye chawa mara zote hujikuna na kukosa utulivu. Chawa...
Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP
10. Ghana π¬π 73.8 Billion USD
9. Tanzania πΉπΏ 77.5 Billion USD
8. Ethiopia πͺπΉ 105.3 Billion USD
7. Kenya π°πͺ 114.6 Billion USD
6. Angola π¦π΄...
CCM imemaliza Mkutano wake Mkuu wa 10 Kwa uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa.
Naipongeza CCM Kwa kuwa Chama bora Na chenye demokrasia ndani ya Chama sio tu katika Afrika, Bali pia...
Wanabodi,
Makala ya Jumapili ya leo.
Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia...
Ruhusa ya kuikosoa serikali kistaafabu imeshatolewa na mh Rais Samia
Je, chama kikuu cha Upinzani Chadema kina Data za serikali?
Ikumbukwe enzi zile Dr Slaa alikuwa anashushiwa data na KUB...
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za...
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa
Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu...
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho...
TSH 250 MILIONI KUFIKISHA MAJI KIJIJI CHA CHIMATI - JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Tunaishukuru Serikali kutupatia Tsh Milioni 250 kwa ajili ya kujenga miundombinu ya maji ya bomba kati ya vijiji vya...
Ndugu zangu watanzania,
Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi...