Safu ya Uongozi wa juu wa CHADEMA haiaminiki kwa Watanzania kuweza kuungwa mkono

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,066
9,467
Ndugu zangu watanzania,

Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye maono na dira inayoeleweka,wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja, wenye Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania na zinazoelezeka kwa urahisi kwa watu wa matabaka yote, Rika zote, makundi yote na wenye viwango vya Elimu za aina zote na wenye Taswira nzuri kwa jamii na wasio na makandokando ya aina yoyote Ile mbele ya macho ya jamii.

Ni lazima kiwe na viongozi ambao wakizungumza sauti zao zinasikika ,kuheshimika na kusikilizwa na wanachama wake, Ni lazima wawe waonyesha na waongoza njia. Ni lazima wawe na misingi wanayo isimamia na ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watu,maana chama Cha siasa Ni watu na ili upate watu ni lazima uwe na ushawishi kwa watu wa Rika zote na makundi yote

Sasa ukiangalia safu ya uongozi wa Juu wa chadema ambayo ndio Taswira ya chama,kichwa Cha chama,kioo Cha chama,Mboni ya chama,Ngome ya chama, Silaha ya chama,Handaki la chama,macho ya chama na Taa ya chama unaona wazi kuwa ni safu ambayo haijakamilika,haina umoja,haina mikakati ya pamoja,haina mbinu za pamoja haina ajenda na Sera za pamoja,haina kauli za pamoja na haileti matumiani ya kuweza Kuungwa Mkono Na kupewa ushirikiano.

Ni chama ambacho kila kiongozi ana msimamo wake na ajenda zake,maono yake na mikakati yake,hakuna uwajibikaji wa pamoja juu ya maamuzi fulani,kila mtu anakwenda na upepo wa vijana wao, kila mmoja anataka apate sifa kutoka kwa vijana wao,hakuna Subira ya kusubiri vikao Rasmi ili kutoka na msimamo wa pamoja juu ya Jambo fulani.

Si ajabu kabla ya vikao Rasmi unamsikia Lema akiongea hivi na Lisu akiongea vile juu ya Jambo moja ambalo linakuwa lipo katika mazungumzo. Hali hiyo inawagawa Hadi wafuasi wao na kubaki kushabikia viongozi wao badala ya ajenda,Ni viongozi waliokosa Msimamo,ndio maana leo wanaweza kuongea hivi juu ya Jambo fulani na mtu fulani lakini kesho akienda kwao wataongea vingine juu ya mtu yule yule wa sura ileile na jinsia Ile Ile,Jambo ambalo limewaondolea uaminifu na hata kusikilizwa na kuungwa mkono na watanzania.

Kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuhatarisha maisha yake au kibarua chake kwa ajili ya Mwanasiasa wa chadema maana anajuwa hawachelewi kukuachia shuka na manyoya yake, Ndio maana watanzania wameelekeza Imani Yao kwa CCM chama ambacho wanajuwa kina misingi yake na huwezi ukakuta utoto unafanyika ndani ya CCM. Jiulize ni wanachadema wangapi walioonekana makamanda kweli kweli mpaka watu wakajitoa mhanga kwa jasho na Damu kuwapigania Ila wakawasaliti.

Tanzania chama Ni kimoja tu,Ni CCM pekee ndio hutaweza kujuta ukiwa mwanachama wake,Ni CCM pekee utakapoishi kwa amani na utulivu. Ni CCM pekee ambapo huwezi ukawa na shaka na dhamira ya viongozi wake ,Anachokuambia kiongozi wa CCm kinatoka ndani ya moyo wake,Ila atakacho kuambia kiongozi wa CHADEMA ujuwe kinatoka mdomoni pake na hivyo mdomo huo huo mmoja unaweza kutamka maneno mengine ikifika jioni kabla ya jua kuzama.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
 
Namuamgalia tu Mnyika, ananenepa tu wakati chama hakina ruzuku.

Benson Kigaila Mkewe no mbunge COVID.

Eti mchepuko wa Mnyika ulitolewa gerezani usiku wa manane ukaenda kuapishwa ubunge.

Mbowe yeye ikulu kiguu na njia
 
😆😆
 
J wewe unaaminika kwenye familia yako? Jwewe unaaminika kwenye ukoo wako?

je wewe unaaminika kwenye jamii yako? Kama unaaminika mbona mpaka leo hujapewa nafasi .pamoja na kutumia muda mwingi kupotosha na kuandika uongo ulikothiri bado hujaaminiwa.

Kijana pambana kujijenga katika misimamo yakinifu kuliko kuegemea siasa za maji taka
 
Ndugu zangu watanzania,

Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye maono na dira inayoeleweka,wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,wenye Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania na zinazoelezeka kwa urahisi kwa watu wa matabaka yote,Rika zote,makundi yote na wenye viwango vya Elimu za aina zote na wenye Taswira nzuri kwa jamii na wasio na makandokando ya aina yoyote Ile mbele ya macho ya jamii.

Ni lazima kiwe na viongozi ambao wakizungumza sauti zao zinasikika ,kuheshimika na kusikilizwa na wanachama wake, Ni lazima wawe waonyesha na waongoza njia,Ni lazima wawe na misingi wanayo isimamia na ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watu,maana chama Cha siasa Ni watu na ili upate watu ni lazima uwe na ushawishi kwa watu wa Rika zote na makundi yote

Sasa ukiangalia safu ya uongozi wa Juu wa chadema ambayo ndio Taswira ya chama,kichwa Cha chama,kioo Cha chama,Mboni ya chama,Ngome ya chama,Silaha ya chama,Handaki la chama,macho ya chama na Taa ya chama unaona wazi kuwa Ni safu ambayo haijakamilika,haina umoja,haina mikakati ya pamoja,haina mbinu za pamoja haina ajenda na Sera za pamoja,haina kauli za pamoja na haileti matumiani ya kuweza Kuungwa Mkono Na kupewa ushirikiano.

Ni chama ambacho kila kiongozi ana msimamo wake na ajenda zake,maono yake na mikakati yake,hakuna uwajibikaji wa pamoja juu ya maamuzi fulani,kila mtu anakwenda na upepo wa vijana wao, kila mmoja anataka apate sifa kutoka kwa vijana wao,hakuna Subira ya kusubiri vikao Rasmi ili kutoka na msimamo wa pamoja juu ya Jambo fulani.

Si ajabu kabla ya vikao Rasmi unamsikia Lema akiongea hivi na Lisu akiongea vile juu ya Jambo moja ambalo linakuwa lipo katika mazungumzo,Hali hiyo inawagawa Hadi wafuasi wao na kubaki kushabikia viongozi wao badala ya ajenda,Ni viongozi waliokosa Msimamo,ndio maana leo wanaweza kuongea hivi juu ya Jambo fulani na mtu fulani lakini kesho akienda kwao wataongea vingine juu ya mtu yule yule wa sura ileile na jinsia Ile Ile,Jambo ambalo limewaondolea uaminifu na hata kusikilizwa na kuungwa mkono na watanzania.

Kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuhatarisha maisha yake au kibarua chake kwa ajili ya Mwanasiasa wa chadema maana anajuwa hawachelewi kukuachia shuka na manyoya yake, Ndio maana watanzania wameelekeza Imani Yao kwa CCM chama ambacho wanajuwa kina misingi yake na huwezi ukakuta utoto unafanyika ndani ya CCM. Jiulize ni wanachadema wangapi walioonekana makamanda kweli kweli mpaka watu wakajitoa mhanga kwa jasho na Damu kuwapigania Ila wakawasaliti.

Tanzania chama Ni kimoja tu,Ni CCM pekee ndio hutaweza kujuta ukiwa mwanachama wake,Ni CCM pekee utakapoishi kwa amani na utulivu,Ni CCM pekee ambapo huwezi ukawa na shaka na dhamira ya viongozi wake ,Anachokuambia kiongozi wa CCm kinatoka ndani ya moyo wake,Ila atakacho kuambia kiongozi wa CHADEMA ujuwe kinatoka mdomoni pake na hivyo mdomo huo huo mmoja unaweza kutamka maneno mengine ikifika jioni kabla ya jua kuzama.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Nyuzi za kichawa kama hizi zimeshampa shavu Kafulila. Hebu na wewe kimbiza pengine wapambe watakuona kupitia jicho lao lenye huruma na kisha kukutupia kacheo fulani kakishikaji.
 
Ukweli uko hivi ikiwa unaamini kuwa JPM alikuwa mtu mbaya au kiongozi mbaya wakati asilimia karibu tisini wanaanini alikuwa kiongizi bora usitegemee kupata uungwaji mkono kwenye siasa, kikubwa watu watakuwa wanakuja kwenye mikutano kuwazoom tu then wakiondoka wanakuwa na lao moyoni.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye maono na dira inayoeleweka,wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja, wenye Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania na zinazoelezeka kwa urahisi kwa watu wa matabaka yote, Rika zote, makundi yote na wenye viwango vya Elimu za aina zote na wenye Taswira nzuri kwa jamii na wasio na makandokando ya aina yoyote Ile mbele ya macho ya jamii.

Ni lazima kiwe na viongozi ambao wakizungumza sauti zao zinasikika ,kuheshimika na kusikilizwa na wanachama wake, Ni lazima wawe waonyesha na waongoza njia. Ni lazima wawe na misingi wanayo isimamia na ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watu,maana chama Cha siasa Ni watu na ili upate watu ni lazima uwe na ushawishi kwa watu wa Rika zote na makundi yote

Sasa ukiangalia safu ya uongozi wa Juu wa chadema ambayo ndio Taswira ya chama,kichwa Cha chama,kioo Cha chama,Mboni ya chama,Ngome ya chama, Silaha ya chama,Handaki la chama,macho ya chama na Taa ya chama unaona wazi kuwa ni safu ambayo haijakamilika,haina umoja,haina mikakati ya pamoja,haina mbinu za pamoja haina ajenda na Sera za pamoja,haina kauli za pamoja na haileti matumiani ya kuweza Kuungwa Mkono Na kupewa ushirikiano.

Ni chama ambacho kila kiongozi ana msimamo wake na ajenda zake,maono yake na mikakati yake,hakuna uwajibikaji wa pamoja juu ya maamuzi fulani,kila mtu anakwenda na upepo wa vijana wao, kila mmoja anataka apate sifa kutoka kwa vijana wao,hakuna Subira ya kusubiri vikao Rasmi ili kutoka na msimamo wa pamoja juu ya Jambo fulani.

Si ajabu kabla ya vikao Rasmi unamsikia Lema akiongea hivi na Lisu akiongea vile juu ya Jambo moja ambalo linakuwa lipo katika mazungumzo. Hali hiyo inawagawa Hadi wafuasi wao na kubaki kushabikia viongozi wao badala ya ajenda,Ni viongozi waliokosa Msimamo,ndio maana leo wanaweza kuongea hivi juu ya Jambo fulani na mtu fulani lakini kesho akienda kwao wataongea vingine juu ya mtu yule yule wa sura ileile na jinsia Ile Ile,Jambo ambalo limewaondolea uaminifu na hata kusikilizwa na kuungwa mkono na watanzania.

Kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuhatarisha maisha yake au kibarua chake kwa ajili ya Mwanasiasa wa chadema maana anajuwa hawachelewi kukuachia shuka na manyoya yake, Ndio maana watanzania wameelekeza Imani Yao kwa CCM chama ambacho wanajuwa kina misingi yake na huwezi ukakuta utoto unafanyika ndani ya CCM. Jiulize ni wanachadema wangapi walioonekana makamanda kweli kweli mpaka watu wakajitoa mhanga kwa jasho na Damu kuwapigania Ila wakawasaliti.

Tanzania chama Ni kimoja tu,Ni CCM pekee ndio hutaweza kujuta ukiwa mwanachama wake,Ni CCM pekee utakapoishi kwa amani na utulivu. Ni CCM pekee ambapo huwezi ukawa na shaka na dhamira ya viongozi wake ,Anachokuambia kiongozi wa CCm kinatoka ndani ya moyo wake,Ila atakacho kuambia kiongozi wa CHADEMA ujuwe kinatoka mdomoni pake na hivyo mdomo huo huo mmoja unaweza kutamka maneno mengine ikifika jioni kabla ya jua kuzama.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Nionyeshe Watanzania Wenye Imani na Samia mbali ya chawa wake nikuonyeshe Banda la Kuku wa blue.
 
Rais wetu mama Samia anakubalika na kupendwa na watanzania wa Rika zote makabila yote jinsia zote na Dini zote kutokana na uchapa kazi wake uliogusa mioyo ya watanzania
 
Back
Top Bottom