Tetesi: IMEVUJA: Makatibu CCM washiriki kughushi nyaraka saa 7 usiku Moshi kuweka uhalali wa uozo wa zabuni dhidi ya Mwita

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
87
280
Moshi kilimanjaro

Katika sakata Linaloendelea Mjini Moshi Dhidi Ya Uporaji Na matumizi Mabaya Ya Madaraka Kwa Katibu Wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathani Marco Mabiya Dhidi Ya Aliekuwa Diwani Wa Manispaa Ya Moshi Michael Mwita kunyang’anywa Eneo La biashara Bila Uhalali.

Chanzo chetu cha habari Kimenasa Uchafu Ulioandaliwa na Katibu Mabiya Kuwaita Makatibu Kadhaa Akiwemo aliyekuwa katibu wa CCM Moshi Kipindi Hicho Kwa Garama Ili Aokoe Jahazi Kwa Kuwaelekeza Kuandaa Barua Pamoja Na Kuweka Taratibu Sawa Ambazo Walizikiuka Mwanzo Kwa Kivuli Cha Athumani Ally Kumbe Ni Mali Ya Mabiya.

Hata Hivyo Kikao Hicho Kiliudhuriwa Na Sukuru Kataba Katibu Wa Zamani, Mjanaeli Ibrahimu Katibu Wa Sasa Wilaya Pamoja Na Wajumbe Kadhaa Na Akiwemo Athumani Ally Mwenezi Wa Sasa.

Hata Hivyo Chanzo Kinasema Haya Yote Ni Baada Ya Katibu Mabiya Kuhojiwa Na Mamlaka Kutoka Makao Makuu Ndio Akili Ikamsogolea Na Kuanza Rasmi Kughushi Nyaraka Hizo Na Kuhifadhi Kwenye Faili la Tender Docment Au Wazabuni Mali za Chama.

Hata Hivyo Mmoja Wa wajumbe wa Kikao Hicho Alisema Anashangaa kwanini Katibu Wa Mkoa anatumia Nguvu Kubwa Kututisha Na Kufanya Mambo Nje Ya Utaratibu Wa Manunuzi (Procurement Act and procedures). Hapa Ilipaswa Toka Mwanzo Ifanyike Propasal In Tender Maana Ni Mali Ya Umma Na Sio Binafsi. Watu Wangeshindanishwa Toka Mwanzo Kwa Maslahi Ya Chama, Alisema Mjumbe Huyo.

Baada ya Afisa kutoka Makao Makuu Kuondoka Leo Tena Vikao Vya Mabiya Na Timu Yake Mbali na Cha Jana Usiku Vitaendelea maana Tayari Nyaraka feki Zimewekwa Kwenye faili.

Ikumbukwe kwamba sakata hili limekuja baada ya aliyekuwa diwani wa kata ya kaloleni Michael Mwita kuzungumza kwenye vyombo vya habari kulalamikiwa kuondolewa na katibu Mabiya kwenye mgahawa wake kwa maslahi yake binafsi nakudai kuwa ni maagizo kutoka juu.

Pia Mjumbe Aliendelea Kushangaa Na Kujiuliza Wakati wa Kughushi nyaraka Hizo Kuhalalisha Uozo Aliuza Mbona Athumani Ally Anaopambaniwa Ili aonekane Ni kwake Hana Tin Wala Leseni Kwa Kipindi Hicho kwa kuwa alikuwa ameajiriwa.

IMG-20230108-WA0004.jpg
IMG-20230108-WA0003.jpg
IMG-20230108-WA0005.jpg
 
Kati ya makatibu bora kuwahi kutokea mabiya ni mmoja wao..acha uzushi mwambie diwani alipe kodi ya chama
 
CCM ni kichaka cha ngedere!

ndiyo laana inayoisumbua CCM.

Ndio maana mnafurahia Magufuli kufariki.

Wizi...wizi...wizi...mpaka kunyang'anyana ma-hawara au katibu na mwenezi huko Mwanga kuwa na mahusiano ya ki-shoga ....nk!

Rubish...rubish....
 
Back
Top Bottom