CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,692
218,210
FB_IMG_1673193600069.jpg

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni .

Kaeni Tayari kusikia Dira Mpya ya Taifa ambayo Nchi itakwenda nayo kuanzia sasa hadi 2025 .

Wote Mnakaribishwa .
 
View attachment 2473924

Kinondoni, few meters kutoka Morocco na 3km toka posta ni nje ya Mji
 
Hiyo ni kwa Mujibu wa Magufuli na wapambe wake , Ijue mipaka mipya ya Jiji la DSM , kwa Mujibu wa Magufuli Oysterbay , Masaki , Mbezi Beachi ni nje ya Jiji na viongozi waliopo walimpigia makofi , ila Buguruni malapa , vingunguti na Pugu kajiungeni ndio ndani ya Jiji .
 
View attachment 2473924

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni .

Kaeni Tayari kusikia Dira Mpya ya Taifa ambayo Nchi itakwenda nayo kuanzia sasa hadi 2025 .

Wote Mnakaribishwa .
Chadema ni nyumba iliyojengwa kwa tofali za barafu
 
View attachment 2473924

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni .

Kaeni Tayari kusikia Dira Mpya ya Taifa ambayo Nchi itakwenda nayo kuanzia sasa hadi 2025 .

Wote Mnakaribishwa .
Yule aliyetujuza wanae wote ni raia wa ughaibuni atakuwepo au ataongea kwa mtandao
 
View attachment 2473924

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kesho Jumatatu 09/01/2023 Kitaongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni .

Kaeni Tayari kusikia Dira Mpya ya Taifa ambayo Nchi itakwenda nayo kuanzia sasa hadi 2025 .

Wote Mnakaribishwa .
Jana kama leo, hakuna jipya
 
Back
Top Bottom